Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Mapenzi ya mwanamke kwako ndio kigezo kikuu cha uaminifu wake
Ukimpenda mwanaume kweli kweli hutomsaliti hata siku 1 hata ubanwe na hamu vipi

kama hakupendi hata awe na low libido atatoka tu kutafta faraja kwa mwingine
True, sasa wale wanaotongozwa na ku entertain flirts za wajuba inakuwaje?

Unakuta mwanamke ana claim anakupenda ila ana flirt around with other guys huko dm. Ukim tight ana claim anakupenda na ndioa maana yuko na wewe theres none serious huko. Ila mawasiliano na wahuni haachi. How do you deal with such issue chukulia we ndio mwanaume.

Kuishi na hilo ni ngumu sana na wanawake wengi wa sikuhizi wana tabia hizo.
 
Swala dogo, mi siamini juu ya urafiki wa mpenzi wangu na wanaume wengine nikiwa niko nae kwa relationship. Im never into that shit, kama we ni entertainer wa hilo jua kutakuwa na migongano at some point.
that depends na the way unam treat mwanamke wako, wengine hawana muda na wapenzi wao kabisa while at the same time mwanamke anahitaji sana muda wako kama haupo busy, na mwanamke wako hapati hizo care, wala muda wako wala compliments zozote kutoka kwako, wengi ndo huishia kuwa entertainers.!!
 
Aisee mkuu umenichekesha sana
 
Muda kivipi, we do talk ikibidi japo sio muda wote. Kuna muda wa majukumu tunakuwa busy. But jioni niko home we talk kabla sijaenda lala. Asubuhi we talk again
 
Mapenzi ya mwanamke kwako ndio kigezo kikuu cha uaminifu wake
Ukimpenda mwanaume kweli kweli hutomsaliti hata siku 1 hata ubanwe na hamu vipi

kama hakupendi hata awe na low libido atatoka tu kutafta faraja kwa mwingine
Mtu anayependa ngono huyo tayari anapepo la ngono na atakusaliti tu wala haipingiki hata kama anakupenda sana sababu hamu ikimshika lazima afanye ngono ili atulize pepo lake. Kila mtu anafanya au ameshawi kufanya ngono ila linapokuja suala la kupenda ngono tayari hapo upo kwenye ulimwengu mwingine. Sasa mtu hawezi kukaa hata wiki moja bila kufanya ngono, sasa huyo atavumilia kweli hata kama anakupenda? Big NO
 
Tatizo wamekaza na mpe hela tuu we mpe helaa tu, mpe tena hela wakidhani hela ndio kila kitu kwetu

"we need your time and attention"
 
Kwahiyo na sisi wakatoliki tunaobudu sanamu la mama Maria hatuingii peponi au unatania mkuu
 
Woga nao unasaidia eti, unachange unakua mpoleee yani hata nguvu ya kupiga mtu anaikosa
tena ukute anaekua mpole jumlisha na "nisamehe kila mara"

nishawahi mpata mmoja ukirudi tu unamkuta kajikunyata kama anaskia baridi

ukimuuliza nini "Michozi inamshuka kama maji "nisamehe nimekosea" hapo bado hata hujajua kakosea nn

anakuja anakwambia Unajua najikutaga nakua mpole kama toto,siwezi kabisa mfanya kitu mtu alietambua kosa

na kulijutia kosa lake "nashindwaga kwakweli" naishiaga tu kumkumbatia na kumwambia "it's ok my love usirudie tena si unajua sipendi"

ila wale midomo mashine mpk um butue kofi ndio anajua kumbe nimekoseaaaaaa,mwngine mpk umuongeze kofi la pili nio mirija ya akli inafunguka anakumbuka kuna kuomba msamaha.
 
Unaongea kuhusu kulia Tena.
Yaani hilo ndo la kwanza[emoji23]
ninavyooogopa machozi

ukiwa wa hivyo aseeee utanionea sana maana sitokaa

nijaribu kuku gusa maana one thing i hate ni kuona mpz wangu anadondosha machozi
 
Habari Saint Anne, ni karibu siku nane/
Hutaki tonane, Na hutaki niwe nawe/
Kiukweli sikia, Vers ninakuzimia/
Ombi langu kubalia, Yangu roho itafurahia/

Nadata na umbo lako, sambamba na sura yako/
Hakika nikiwa wako, Furaha itakua yako
Umbo langu Na sura unavijulia wapi [emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…