Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
True, sasa wale wanaotongozwa na ku entertain flirts za wajuba inakuwaje?Mapenzi ya mwanamke kwako ndio kigezo kikuu cha uaminifu wake
Ukimpenda mwanaume kweli kweli hutomsaliti hata siku 1 hata ubanwe na hamu vipi
kama hakupendi hata awe na low libido atatoka tu kutafta faraja kwa mwingine
Unakuta mwanamke ana claim anakupenda ila ana flirt around with other guys huko dm. Ukim tight ana claim anakupenda na ndioa maana yuko na wewe theres none serious huko. Ila mawasiliano na wahuni haachi. How do you deal with such issue chukulia we ndio mwanaume.
Kuishi na hilo ni ngumu sana na wanawake wengi wa sikuhizi wana tabia hizo.