Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Kazi kweli kweli. Nilipofikiria watoto nikaona ataua watoto. Mtoto mchanga anajisaidia kitandani, anacheza na mchanga nk nk. Nikaona familia haiwezi kabisa... Wala sikumuaga. Nilipotea tu kama upepo.
Kweli mkuu asingeweza, na vipi achilia mbali kua na 40 bila kuolewa, hana hata mtoto mpaka sasa??
 
Nilimuachaga nilipoona mizinga ya bia na K.vant imekuwa mingi, imagine mwanaume eti anakupigia simu anakuomba elfu 30 akapashe koo yani weekend ikifika tu mapigo ya moyo yananienda kasi najua simu ikiingia tu ni ya mzinga, na kaz anayo mshahara wake hauonekani anafanyia nini hata boxer tu kununua zinamshinda hadi mm nimnunulie tena kwa hela yangu na nguo, sikuwahi kumuomba hata mia yake ila mimi ndo akanifanya mtaji wake wa kulewea bar, nilimchana live na nikamuacha maana niliona hakuna future hafai kuwa kichwa cha nyumba.
 
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo labda aninunulie nivae nyumbani nikiwa naye.
Nilishasema Mimi kuvaa suruali siwezi [emoji1787][emoji1787]
Kadiri muda unavyozidi kwenda najikuta nashindwa kabisa, zamani nilikua naweza yani navaa napuyanga bila shida ...Anne yani siku hizi siwezi kabisa kuvaa suruali nikadhani niko peke angu... Ila kuna nyakati Darling Father(hope umemuelewa) akikukolea kisawa sawa kuna vitu automatically unajikuta unaviacha tu mwenyewe.... Ndani navaa hata kaptula ila kwenye halaiki imenishinda kabisa yani kabisaaa
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi sijawahi kabisa...mtu Kama Mimi yahitaji nguvu ya ziada kunibadilisha
 
Eti ataua watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Kazi kweli kweli. Nilipofikiria watoto nikaona ataua watoto. Mtoto mchanga anajisaidia kitandani, anacheza na mchanga nk nk. Nikaona familia haiwezi kabisa... Wala sikumuaga. Nilipotea tu kama upepo.
 
Nilimuachaga nilipoona mizinga ya bia na K.vant imekuwa mingi, imagine mwanaume eti anakupigia simu anakuomba elfu 30 akapashe koo yani weekend ikifika tu mapigo ya moyo yananienda kasi najua simu ikiingia tu ni ya mzinga, na kaz anayo mshahara wake hauonekani anafanyia nini hata boxer tu kununua zinamshinda hadi mm nimnunulie tena kwa hela yangu na nguo, sikuwahi kumuomba hata mia yake ila mimi ndo akanifanya mtaji wake wa kulewea bar, nilimchana live na nikamuacha maana niliona hakuna future hafai kuwa kichwa cha nyumba.
Aisee kweli hakua kichwa, ungejikuta majuku ya familia yote unayabeba wewe, pole na hongera kwa kumpiga chini
 
Nilimuachaga nilipoona mizinga ya bia na K.vant imekuwa mingi, imagine mwanaume eti anakupigia simu anakuomba elfu 30 akapashe koo yani weekend ikifika tu mapigo ya moyo yananienda kasi najua simu ikiingia tu ni ya mzinga, na kaz anayo mshahara wake hauonekani anafanyia nini hata boxer tu kununua zinamshinda hadi mm nimnunulie tena kwa hela yangu na nguo, sikuwahi kumuomba hata mia yake ila mimi ndo akanifanya mtaji wake wa kulewea bar, nilimchana live na nikamuacha maana niliona hakuna future hafai kuwa kichwa cha nyumba.
Anaomba hela ya pombe!?!![emoji849][emoji134]
 
Back
Top Bottom