Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Inabidi ukumbuke pia mlikutana wapi kwa Mara ya kwanza. Yawezekana mlivyoonana Mara ya kwanza basi Ile picha imekaa kichwani mwake, hivyo anavutiwa kukuona ukiwa hivyo siku zote.
 
Yeah for sure nilimootezea muda kwa kiasi flani,ila niliona nisimpotezee zaidi nikamwambia ukweli,najua aliumia sana sana ila ilitusaidia wote wawili mana mimi pia kwa kiasi flani nilianza kukosa balance.
Wanaume Mungu anawaona
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye hewa ya ukaa! Dah kmamamae nimecheka kisenge. Jamaa anajamba kishoga tu hewa mbovu
Hatari mkuu me mtu anae jamba jamba ovyo wanini sasa....
 
Nilishaexperience hiyo kitu..
Ila mm niliwahi kugundua mapema,nikakimbia
Pole sana,bora hata uligundua mwenyewe maprma.
Wengine wanakuwa hawana huruma,anajua kabisa hana future na wewe lakini hakuweki wazi,mimi binafsi sipendi kupoteza muda wa mtu, vivyo hivyo sipendi kupotezewa muda wangu.
 
Some girls are just entertainers by default, hata ubinuke vipi hawana shukrani I can concur that too...!!
Thats very stupid sababu mtu yupo radhi ku risk mahusiano yake eti kwa sababu kuna jamaa anamu entertain. yani demu anakomaa kabisa kuwa kwani hatakiwi kuwa na rafiki or? Hamna lolote between us then anaanza kuficha chats ama ku delete.
 
Kuna mmoja mungu tu alinisaidia ni mwanamke haridhiki nikajenga akaanza hii nyumba gani? Dodoma hapo Hii nayo nyumba, nataka gari mbn wewe una gari yako nikamwambia ya kazi hii siyo ya kutanulia tutumie wote, sina uwezo kwa sasa subiri. Yakawa si maneno na matusi wala hatujawahi kupata mtoto nae. Nikajitahidi nikanunua collora gari gani hii mini nataka ist. Wanaume wanaowapenda wake zao wanawa ulizaga wake zao machaguo yao. Mwanaime gari hujali hata hisia za mke ooo aaa

Alikuwa safi ukweli bodi lake murua, nyuma mashaala, puchi nayo swafii tukahamia Dar akaanza kusema mwanamke kama mimi natakiwa na wanaume wengi. Hunijali gari gani mwaka sasa tumepanga pesa unazo lkn unajali biashara zako. Siku moja kaja nyumbani kalewa sikujua hata amelewea wapi kanishushia matusi kibao.

Kesho yake nikamuomba apeleke pesa fulani kwao baada maneno na shutuma kibao alipo ondoka tu nikahama nyumba nikazima simu zangu na kubadilisha namba. Nikahamisha biashara nikahamia mbeya baada ya mwala mmoja tulikutana kapungua sana akataka kunizoea nikamwambia una nyumba una gari bodi la kubebea wanaume wazuri unalo puchi tamu unayo umekosa nini usinizoee.

Baada ya miaka minne nikasikia ukimwi ume mchukua ni ka mshukuru Mungu ni kajisemea kisicho ridhiki hakiliki
Aiseee.
 
Umenikumbusha mbali pia my dear, iliwahi nikuta mkaka anachamba kama muimba taarabu na ana wivu sio mchezo siku moja alipiga bahati mbaya nikawa mbali na simu aliongeaaa, alitukanaaa alichonikera ni kunitukania mama angu nilijibu jibu moja tu nikamwambia hapa hujanioa ukinioa si utanitukania ukoo mzima?? Nilinyala kimya kimya mpaka leo
Mimi alinipigia nikapokea nina sauti zito anajua hilo ati akakata simu nikampigia akaniuliza me gani kapokea simu nikamjibu ina maana hujui sauti yangu? Akasema nikamsikiliza nikawaza hanijui huyu nikamuaga kwa heeeri akajibu ok. baadae, nikakata simu. Ukisikia neno Kwa heeri kutoka mdomoni kwangu sihitaji mjadala tena
 
Pole sana,bora hata uligundua mwenyewe maprma.
Wengine wanakuwa hawana huruma,anajua kabisa hana future na wewe lakini hakuweki wazi,mimi binafsi sipendi kupoteza muda wa mtu, vivyo hivyo sipendi kupotezewa muda wangu.
Mimi mwenyewe huwa sipendi.
Huwa napenda kuwa open kwa mtu...Kama simtaki namwambia wazi.

Mimi huwa Ni mchunguzi Sana...yaani Kama mtu Ni mwongo Mimi namgundua mapema..
 
Thats very stupid sababu mtu yupo radhi ku risk mahusiano yake eti kwa sababu kuna jamaa anamu entertain. yani demu anakomaa kabisa kuwa kwani hatakiwi kuwa na rafiki or? Hamna lolote between us then anaanza kuficha chats ama ku delete.
Upo sahihi, na kuna baadhi ya wanaume wana tabia hiyo pia!! It's pathetic..!!
 
Back
Top Bottom