Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Ila mkuu nawe ungeoa yeye, ungeeeka ndani kabisa
at that time mapepo ndio yalikua yananiongoza akili,sikua hata najua nilitendalo

nikikusimulia nilivyompoteza unaweza nizibua mikofi ya mgongo kichwani mwisho uniuwe bure

sikua hata najua what is Love (Mungu ampe mume mwema tu aseeee)

Nilikuga kilaza sina afadhali

Naomba nisiendelee usije nirushia Chupa ukanipasua haka kasura.
 
Pole kuna nyakati za ujinga wengi tunapitia kwenye maisha, muhimu ni kujitambua na kujisahihisha, Mungu akupe mke mwema pia mkuu.
 
at that time mapepo ndio yalikua yananiongoza akili,sikua hata najua nilitendalo

nikikusimulia nilivyompoteza unaweza nizibua mikofi ya mgongo kichwani mwisho uniuwe bure

sikua hata najua what is Love (Mungu ampe mume mwema tu aseeee)

Nilikuga kilaza sina afadhali

Naomba nisiendelee usije nirushia Chupa ukanipasua haka kasura.
Au ulimchamba mtoto wa watu mpaka akazimia hahahaaa
 
at that time mapepo ndio yalikua yananiongoza akili,sikua hata najua nilitendalo

nikikusimulia nilivyompoteza unaweza nizibua mikofi ya mgongo kichwani mwisho uniuwe bure

sikua hata najua what is Love (Mungu ampe mume mwema tu aseeee)

Nilikuga kilaza sina afadhali

Naomba nisiendelee usije nirushia Chupa ukanipasua haka kasura.
Kwanini sasa ulimuacha[emoji134]
 
Nilimuachaga nilipoona mizinga ya bia na K.vant imekuwa mingi, imagine mwanaume eti anakupigia simu anakuomba elfu 30 akapashe koo yani weekend ikifika tu mapigo ya moyo yananienda kasi najua simu ikiingia tu ni ya mzinga, na kaz anayo mshahara wake hauonekani anafanyia nini hata boxer tu kununua zinamshinda hadi mm nimnunulie tena kwa hela yangu na nguo, sikuwahi kumuomba hata mia yake ila mimi ndo akanifanya mtaji wake wa kulewea bar, nilimchana live na nikamuacha maana niliona hakuna future hafai kuwa kichwa cha nyumba.
🤣🤣🤣 jamaa hana hata aibu aisee! Yani una mshahara af unamuomba mama hela tena...au jamaa alikuwa mlinzi nini?🤣
 
Kuna mmoja mungu tu alinisaidia ni mwanamke haridhiki nikajenga akaanza hii nyumba gani? Dodoma hapo Hii nayo nyumba, nataka gari mbn wewe una gari yako nikamwambia ya kazi hii siyo ya kutanulia tutumie wote, sina uwezo kwa sasa subiri. Yakawa si maneno na matusi wala hatujawahi kupata mtoto nae. Nikajitahidi nikanunua collora gari gani hii mini nataka ist. Wanaume wanaowapenda wake zao wanawa ulizaga wake zao machaguo yao. Mwanaime gari hujali hata hisia za mke ooo aaa

Alikuwa safi ukweli bodi lake murua, nyuma mashaala, puchi nayo swafii tukahamia Dar akaanza kusema mwanamke kama mimi natakiwa na wanaume wengi. Hunijali gari gani mwaka sasa tumepanga pesa unazo lkn unajali biashara zako. Siku moja kaja nyumbani kalewa sikujua hata amelewea wapi kanishushia matusi kibao.

Kesho yake nikamuomba apeleke pesa fulani kwao baada maneno na shutuma kibao alipo ondoka tu nikahama nyumba nikazima simu zangu na kubadilisha namba. Nikahamisha biashara nikahamia mbeya baada ya mwala mmoja tulikutana kapungua sana akataka kunizoea nikamwambia una nyumba una gari bodi la kubebea wanaume wazuri unalo puchi tamu unayo umekosa nini usinizoee.

Baada ya miaka minne nikasikia ukimwi ume mchukua ni ka mshukuru Mungu ni kajisemea kisicho ridhiki hakiliki
 
Kuna mmoja mungu tu amenisaidia na mwanamke haridhiki nikajenga akaanza hii nyumba gani? Hiinayo nyumba, nataka gari mbn wewe ina gari yako nikamwambia sina uwezo kwa sasa subiri si maneno na matusi wala hatujawahi kupata mtoto nae. Nikajitahidi nikanunua collora gari gani hii mini nata ist. Wanaume wanaowapenda wake zao wanawa uliza chaguo lao. Alikuwa safi ukweli badi lake nyuma mashaala puchi nayo swafii tukahamia dar akaanza kusema mwanamke kama mimi natakiwa na wanaume wengi.
Siku moja kaja nyumbani kalewa kanishushia matusi kibao.
Kesho yake nikamuomba apeleke pesa fulani kwao baada ya kuondoka nikahama nyumba nikazima simu yangu. Nikahamisha biashara nikahamia mbeya baada ya mwala mmoja tulikutana kapungua sana akataka kunizoea nikamwambia una nyumba una gari bodi la kubebea wanaume wazuri unalo puchi tamu unayo umekosa nini usinizoee.
Baada ya miaka minne nikasikia ukimwi unemchukua ni ka mshukuru Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna binti flani ni Mkenya nilikutana naye huko Migombani wakati nipo Chuoni,nakumbuka kipindi hicho alikuja kumsalimia dada yake ambaye alikuwa mpangaji mwenzetu,basi bwana kutokana na harakati za hapa na pale tukajikuta tupo kwenye mahusiano.

Mimi nilikuwa hata sina malengo naye lengo langu lilikuwa ni kupiga na kupotea maana kipindi hicho nilikuwa kwenye very serious relationship na mtu mwingine, ila yeye kusema ukweli alikuwa yupo deep sana,mpaka nikafikia kipindi nikaanza na mimi kumuelewa.
Nakumbuka siku moja alishika kadi yangu ya bima na kugundua kumbe sisi ni twins, yani tumezaliwa siku moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja,basi kuanzia hapo mapenzi yakazidi kuwa hot..........

Stori ni ndefu sana ila nilikuja kumwambia tu ukweli kwamba niko na mtu mwingine ,kitu kilichotokea .... I'm so sorry M.
Jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
I can imagine maumivu aliyopata.
 
Swala dogo, mi siamini juu ya urafiki wa mpenzi wangu na wanaume wengine nikiwa niko nae kwa relationship. Im never into that shit, kama we ni entertainer wa hilo jua kutakuwa na migongano at some point.
Some girls are just entertainers by default, hata ubinuke vipi hawana shukrani I can concur that too...!!
 
Wakwangu alikua anachuma huku na huku na anakwambia kabisa hii nimepewa na Juma hii na Samwel ivyo yaani nikaona huyu ndumila kuwili hatuwezi kutoboa
 
Hakuna mwanamke asiyependa kupendeza hiyo kabati inavunjwa bila kununuliwa nguo.
Sio lazima uwe na minguo 100000 huko. Hata katika hizo 3 ulizonazo hebu zivae basi uonekane ni mtu unayejipenda na kujijali.
 
Hakuna mwanamke asiyependa kupendeza hiyo kabati inavunjwa bila kununuliwa nguo.
Mwanaume unatakiwa umuongoze mwanamke kwenye mavazi umwambie nguo izi sizipendi uzivae, mfano siyo za heshima au hazi mpendezi, au ana vaa nguo za wa mama wa mikoani
 
Umempotezea muda mtoto wa watu
Yeah for sure nilimootezea muda kwa kiasi flani,ila niliona nisimpotezee zaidi nikamwambia ukweli,najua aliumia sana sana ila ilitusaidia wote wawili mana mimi pia kwa kiasi flani nilianza kukosa balance.
 
Back
Top Bottom