Stick to the main contentUmbo langu Na sura unavijulia wapi [emoji23][emoji23].
Ila mkuu nawe ungeoa yeye, ungeeeka ndani kabisatena ukute anaekua mpole jumlisha na "nisamehe kila mara"
nishawahi mpata mmoja ukirudi tu unamkuta kajikunyata kama anaskia baridi
ukimuuliza nini "Michozi inamshuka kama maji "nisamehe nimekosea" hapo bado hata hujajua kakosea nn
anakuja anakwambia Unajua najikutaga nakua mpole kama toto,siwezi kabisa mfanya kitu mtu alietambua kosa
na kulijutia kosa lake "nashindwaga kwakweli" naishiaga tu kumkumbatia na kumwambia "it's ok my love usirudie tena si unajua sipendi"
ila wale midomo mashine mpk um butue kofi ndio anajua kumbe nimekoseaaaaaa,mwngine mpk umuongeze kofi la pili nio mirija ya akli inafunguka anakumbuka kuna kuomba msamaha.
Nimeongelea kwa Case ya mtu mwenye gubu.Shenz kwahio unajambisha af unalia sio.
Hahahahaaaaaaaa pole mkuu hiyo ilikua adhabu aiseeWakati nikiwa kijana kama nyie niliwahi kupendana na binti. Yule binti alikuwa freak katika mambo ya usafi. Tuliwahi kukaa pamoja wakati tuko chuoni nje ya nchi. Basi ilikuwa taabu ile kupenda usafi kwake kupita kiasi. Akimaliza kutumia sink anafuta kwa kitambaa ili kusibaki tone la maji. Nikikata ndevu zangu akakuta kaudevu kamoja kamebaki kwenye sink ama tone la maji limerukia kwenye sakafu ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana. Nikikaa kwenye kitanda nikitoka, ilibidi nipige pasi ile sehemu niliyokuwa nimekaa inyooke! Nikaona hapa nitakufa kabla ya siku zangu. Baada ya chuo, nilikata mawasiliano kimya kimya... Ni mrembo lakini mpaka leo hajaolewa - miaka yake 40 na kitu.
Umeona eeh shoga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenyewe hua najiuliza hivi wanapigaje pigaje, au wanapigwaje pigwaje?? Yani inakuaje kuaje hadi mtu anazabwa au anazaba jamani hahahaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Kauli za kanga Ni kama zipi hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Toa kauli za kanga tu, mbona simple...Ongea shit usoni kwa baharia uone.
Umenitafuta wapi hujanipata?Stick to the main content
AiseeWakati nikiwa kijana kama nyie niliwahi kupendana na binti. Yule binti alikuwa freak katika mambo ya usafi. Tuliwahi kukaa pamoja wakati tuko chuoni nje ya nchi. Basi ilikuwa taabu ile kupenda usafi kwake kupita kiasi. Akimaliza kutumia sink anafuta kwa kitambaa ili kusibaki tone la maji. Nikikata ndevu zangu akakuta kaudevu kamoja kamebaki kwenye sink ama tone la maji limerukia kwenye sakafu ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana. Nikikaa kwenye kitanda nikitoka, ilibidi nipige pasi ile sehemu niliyokuwa nimekaa inyooke! Nikaona hapa nitakufa kabla ya siku zangu. Baada ya chuo, nilikata mawasiliano kimya kimya... Ni mrembo lakini mpaka leo hajaolewa - miaka yake 40 na kitu.
[emoji41][emoji41]Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
Hahahaaaaa ila mmh kudundwa jamani uuwiiii... Yani mi nikigundua hapa nshaharibu uuwiiii na magoti juu kuomba msamaha yani mtu atafoka wee mi kimya neno langu moja tu nimekosa naomba unisamehe sitarudia tena...... Nawashangaaga watu wadada wanaovimba hahahaa unakuta mtu anaendeleza ligi hata haogopi jamani... Hahahaa tuwe wapole hivi hivi shoga angu tusije pasuka sikuUmeona eeh shoga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natamani nione siku moja[emoji23]
Upo kama mimi mama mchungaji hahahaaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anakupangia mavazi halafu hataki kukununulia,,akome[emoji1787].
Mimi mwanaume wa kuja kunibadilishia mavazi ajiandae tu pesa ya kutosha Maana sina mavazi mchanganyiko[emoji23][emoji23].
Nimejaza mavitenge yangu tu
Sorry mkuu nimefuta commentUmenitafuta wapi hujanipata?
Mbona hapa nipo Muda wote
Ukikosa kweli unaomba msamaha.Hahahaaaaa ila mmh kudundwa jamani uuwiiii... Yani mi nikigundua hapa nshaharibu uuwiiii na magoti juu kuomba msamaha yani mtu atafoka wee mi kimya neno langu moja tu nimekosa naomba unisamehe sitarudia tena...... Nawashangaaga watu wadada wanaovimba hahahaa unakuta mtu anaendeleza ligi hata haogopi jamani... Hahahaa tuwe wapole hivi hivi shoga angu tusije pasuka siku
Hahahaaa kweli kuna situation my dearUkikosa kweli unaomba msamaha.
Hata Mimi nikikosa Cha kwanza ni kuomba msamaha.
Lakini kuna situation yaani unaona kabisa hujakosa mf hujapokea simu kwa wakati,jitu linatengeneza kesi na huku anajua nyumbani kazi zote zangu.
Huyo kuomba msamaha siwezi,atausikia tu
Nguo ambazo sio za vitenge nahisi hata 10 hazifiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Upo kama mimi mama mchungaji hahahaaaa...
MmmmmhSorry mkuu nimefuta comment
Alikuwa hataki mavazi ya kiostadhi na mimi toka mdogo nimelelewa kwenye aina hiyo ya mavazi ndefu kichwa nifunike tofauti na hiyo siwezi kutoka home kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anakupangia mavazi halafu hataki kukununulia,,akome[emoji1787].
Mimi mwanaume wa kuja kunibadilishia mavazi ajiandae tu pesa ya kutosha Maana sina mavazi mchanganyiko[emoji23][emoji23].
Nimejaza mavitenge yangu tu
Muite akuelekeze