Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Sasa kwa nini ulimwacha jamaa ?

Huwa napenda kumwambia my 💗 Ingekuwa inawezekana ningetafuta world 🌎 of our own , Only two of us Tuishi huku, Bahati mbaya na nzuri haiwezekani ,
BADO NINA WIVU ila najitahidi Kuuficha ,
Nime edit hapo juu nikajibu swali lako.!!
Kuna tofauti kati ya kero na upendo, wake haukuwa upendo ila ilikuwa kero!
Lengo la mapenzi ni furaha na amani ya moyo, kama huvipati hivyo vitu kwenye mahusiano yako then you got to move on!
 
SweetieLee,
Huo sio wivu, ni mis-communications zenu tu. Infact wewe hauwi muwazi of what you are doing! Kipindi nakuwa nilikuwa concerned sana na hayo mambo ila sikuhizi naambiwa hata sijui kujali.

Mie ilikuwa nikiwa excited sana kuongea na wewe like im missing you so much ukanisubirisha kwa muda lazma ntakupigia tu kama nikiona kimya kimetawala. Kukumaindi baada ya hapo itategemea na maelezo utayonipa.
 
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa unahitaji ujasiri gani kumuacha mwanaume anayekupa vipigo. Huyo unamwacha tuu. Hata MUNGU anajua maumivu yako. Ondoka mama usije chomwa na gunia mbili za mkaa. Umefanya uamuzi wa busara. Hongera sana
 
Pesa ya mwanamke ni ya kwake,pesa ya mwanaume ni ya wote.
Kwa hili la mfumo ni pande zote mbili mkuu kuna wanawake wanajielewa sana na wako very independent, shida inakuja ukiwa hivyo ndio mwanaume anabweteka, na kukuona kama uko desperate sana na ikitokea hata mmeingia kwenye ndoa majukumu yote ya familia anakuachia, huku hela zake anatumia na kina mwajuma ndala ndufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndani ya miaka mitano kakupiga mara mbili... Bhasi WEWE NDO TATIZO katika event zote ulizopigwaa na jamaa alishindwa kuvumilia maana ulivuka mipaka aisee huo ndio ukwelii..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, hivyo vipigo huwa vipo kila iitwayo siku au huwa vinatokea baada ya matukio fulani kutokea ? Na sababu au mazingira makubwa ya hivyo vipigo huwa ni nini ? Je, umeshafanya tathmini ya kina juu ya maisha yako na mwanao baada ya kuachana na mzazi mwenzio ? From my experience case za watu hasa ambao tayari wanafamilia na wameishi pamoja kwa muda, mmoja wao anaweza kuondoka kwa kiapo Cha kutogeuka nyuma kesho kutwa ikifika unaona wanatabasamu pamoja. Huyo mtoto huwa ana bond kubwa sana.

Pole sana kwa vipigo mama.
 
Pole sana

Back
Top Bottom