Nime edit hapo juu nikajibu swali lako.!!Sasa kwa nini ulimwacha jamaa ?
Huwa napenda kumwambia my π Ingekuwa inawezekana ningetafuta world π of our own , Only two of us Tuishi huku, Bahati mbaya na nzuri haiwezekani ,
BADO NINA WIVU ila najitahidi Kuuficha ,
Silence is the best weapon, I like this.Silence kills it silently and diplomatically, no arguments no explanation nothing and there won't be ever...
Chapter closed, another one is opened...
Aluta Continual....
K' Matata.
wangu hakuwa romantic kabisa kuna siku karudi kutoka safari cha kwanza kuuliza ni kuku wake, kwa kweli nilimdelete mazima
Binafsi siwezi kuacha mwanamke....
Asa unahitaji ujasiri gani kumuacha mwanaume anayekupa vipigo. Huyo unamwacha tuu. Hata MUNGU anajua maumivu yako. Ondoka mama usije chomwa na gunia mbili za mkaa. Umefanya uamuzi wa busara. Hongera sanaLeo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili la mfumo ni pande zote mbili mkuu kuna wanawake wanajielewa sana na wako very independent, shida inakuja ukiwa hivyo ndio mwanaume anabweteka, na kukuona kama uko desperate sana na ikitokea hata mmeingia kwenye ndoa majukumu yote ya familia anakuachia, huku hela zake anatumia na kina mwajuma ndala ndufu.
Kama ndani ya miaka mitano kakupiga mara mbili... Bhasi WEWE NDO TATIZO katika event zote ulizopigwaa na jamaa alishindwa kuvumilia maana ulivuka mipaka aisee huo ndio ukwelii..Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£jamani karena mbona leo wewe na SweetieLee naona kama ni ma X zangu
mimi nachamba jamani,sijui kanifundisha nani aseeee Niombeeeni
Je, hivyo vipigo huwa vipo kila iitwayo siku au huwa vinatokea baada ya matukio fulani kutokea ? Na sababu au mazingira makubwa ya hivyo vipigo huwa ni nini ? Je, umeshafanya tathmini ya kina juu ya maisha yako na mwanao baada ya kuachana na mzazi mwenzio ? From my experience case za watu hasa ambao tayari wanafamilia na wameishi pamoja kwa muda, mmoja wao anaweza kuondoka kwa kiapo Cha kutogeuka nyuma kesho kutwa ikifika unaona wanatabasamu pamoja. Huyo mtoto huwa ana bond kubwa sana.Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wewe π€£π€£π€£π€£kenua tu,naku zooom kwa mbali mbali