Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

unafikiri watakubali,,subiri waje kukupinga
 
Nimekupata mkuu
 

Of course ni matatizo ya kujitakia Mkuu choose wisely ukiona you are drowning why carry on

Mimi sio muhumini wa kulalamika na nawashangaa sana wanaolalamika fanya assessment ya Maisha yako kaa kwenye nafasi yako
 
Hahahaha hakuna mtu anayeweza jua yaliyo ndani ya moyo wa mtu mwingine na ndiyo maana watu wanaumizana kwenye mapenzi kila siku
 
Anapiga simu sana hadi leo ila huwa sipokei msg katuma weeee sasa my girl akawa anaziona akahisi namcheat nkamwambia ukweli yeye akawa anamjibu[emoji23][emoji23][emoji23] Sijui waliishia wapii
sio mtu mzuri kabisa wewe kuachia madereva kwa madereva wapambane
 
Upendeleo hudanganya na uzuri ni ubatili bali mwanamke amchaye Bwana ndiye atakaesifiwa. (Mithali 31:30) uliweza isome yote ikipendeza hii iwe standard yako

Muhimu weka vigezo vya unaemtaka lakini Muombe Mungu kwa imani yako, fuata amri zake,sheria na taratibu zake... Lakini jitahidi usiwe na haraka kwenye mahusiano jipe muda na chunguza hata katika namna muhisika hajui ili kabla hujafanya maamuzi uwe na picha kamili.....
 
Uunh!!! not real vinatakiwa viwe na kiasi

Unajua to be honest moja ya vitu wadada wamekuwa wakijiharibia, ni kupiga vizinga kama vyote...

Wanaume wengi wakishaona mdada ni wa vizinga sana, huishia kutomchukulia serious...
Naelewa sana tuu! Tabia ya kuomba omba sio poa kabisaa!

Ni kama mimi, mwanaume aniombe hela nitaelewa amekwama na sio aniandikie zile "xaxa, xku n.k" hilo siwezi kulivumilia kabisaa tho sijawahi kumbana nalo!
 
Uunh!!! not real vinatakiwa viwe na kiasi

Unajua to be honest moja ya vitu wadada wamekuwa wakijiharibia, ni kupiga vizinga kama vyote...

Wanaume wengi wakishaona mdada ni wa vizinga sana, huishia kutomchukulia serious...
mwanamke omba omba hafai kuwa mke

hapo ndio una familia then baba umeumwa kitandani hoiii

huku nyuma mwanamke wa ivyo si ataomba ndugu ukoo mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…