CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
- Thread starter
- #61
unafikiri watakubali,,subiri waje kukupingaNakubaliana na wewe lakini most Of Afrikan Girls swala la wao kuwa independent ni tatizo hapa si kwamba nawasema vibaya hapana ni mifumo tu ya kimalezi na tamaduni zetu yaani Elimu ya pesa inatupiga chenga sana kwa wote
Kuhusu hao wanaume ambao wanatelekeza Familia na kuweka matumizi kwa michepuko kisa mwanamke ameamua kuwa independent wana matatizo makubwa sana kwenye Bongo zao na namna wanavyo fikiria
Yet wanawake independent wapo sana Afrika na Tanzania ikiwepo lakini wengi wao huwezi wakuta kwenye Millenia’s Wengi ni wamama ambao umri wao umekimbia kidogo
Hawa millennia’s wengi wapo carried away na fantasy za movie, trend za mitandao ya kijamii na the likes