Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana...
Ila sababu zako zote hazina mashiko, unaonekana ni mtu wa haisra na kisirani sana...
Cc: mahondaw
Vizinga, vizinga...dah! hapa nipo najiandaa kutema mzigo maana sio kwa mizinga hii, kibaya zaidi mimi huwa sisubiri aniombe ila sasa imefikia wakati kila nikiona msg yake najua ni mzinga! Pumbaf sana.Wadada wengi wanaachwa sababu ya vizinga, wanaume wengi wanaachwa kwa sababu ya kutojali...
Silence is the best treatment I normally prescribe to my patientsSilence kills it silently and diplomatically, no arguments no explanation nothing and there won't be ever...
Chapter closed, another one is opened...
Aluta Continual....
K' Matata.
😂 😂 😂Umenikumbusha mbali pia my dear, iliwahi nikuta mkaka anachamba kama muimba taarabu na ana wivu sio mchezo siku moja alipiga bahati mbaya nikawa mbali na simu aliongeaaa, alitukanaaa alichonikera ni kunitukania mama angu nilijibu jibu moja tu nikamwambia hapa hujanioa ukinioa si utanitukania ukoo mzima?? Nilinyala kimya kimya mpaka leo
Sasa kama umeamua kutozifuata si uachane na hizo habari uwe baridi kabisa kuliko kuwa vuguvugumuda wa kujiburudisha huwa ni mchache
hamna anaependa kujiburudisha kwenye miili ya wadada kila leo
labda ziro aikyuuu ila wengine sisi tuna wish kama Lait angepatikana mmoja tu halafu tuendane Daaah
Amri 10 unaziona chache eee,ila usiombe kujaribu zifatisha kwenye matendo,unaeza jihisi uko JELA (Gwantanamooo)
Hahhaaa..!!Bora Huyo wa pili.
Huyo wa kwanza bora nife sina mwanaume
😂 😂 😂 😂Hahahahaha uyo mwanaume wa vichambo Ni mtu wa pwani Nini??
Mimi na wewe tutafika mbali sana mpenziHivi tutafika mbali ama nijiburudishe tu
Haha.!!SweetieLee kumbe watu mna mapito yenu ya kimya kimya
pole sanaaaa
huyo jamaa ako wa kwanza sikua mimi kweli jamani
maana nimejirekebisha hata wiki sina,na hayo malamiko ndio yale yale yaniiii
Bora wa 2 ntamvumilia.Hahhaaa..!!
Mwanangu hiyo ya pili nayo ina kero zake usiombe mama! Usitumike, usipokee, uchelewe ku reply, uende mahali hujaaga utajuta kusema yes I do..! mambo ni mengi sana yanakera.!!
😂 😂 😂jamani karena mbona leo wewe na SweetieLee naona kama ni ma X zangu
mimi nachamba jamani,sijui kanifundisha nani aseeee Niombeeeni
Ugomvi wa kila saa, utabwaga manyanga mapema mno walaqhi'.!Bora wa 2 ntamvumilia.
Ila mwanaume mwema sabufa mdomoni hafai.
Halafu mbona Kama hizo sifa zote zinafuatanaga kwa mtu MMoja huyohuyo[emoji2]
ulichoamua ni kujiongeza
ukaona isiwe shida si eti
😁😁😁😁😁hili wengi tumeshakutana nalo.
niliparamiaga mmoja hivi anapiga vizinga vidogo vidogo me nikawa natoa hata sizingatii sana, heee kumbe ananiona bwege eti.
Haki ya Nani,na ambavyo sipendagi tuhuma ambazo SI za kweli Wala SI za muhimu ..huyo mwanaume mbona atajichosha bure..atakapomaliza namjibu sawa/ndiyo.Ugomvi wa kila saa, utabwaga manyanga mapema mno walaqhi'.!
Utabaki una act 'perfectinism' ili tu usimkwaze seriously??