Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Aahhh kwa nyakati zetu hizi, MTU anapokua kweli nawe kua Kweli, hamna faida ya kuhangaika., mtu anapoamua kuweka malengo , kua na malengo
( sijui ni sababu Watu wanakua hawajapendana ?)

Ikiwa watu wataitazama Dunia yetu ktk point ya maradhi, Ni Mwanamke na mwanaume pekee ambao ndio watakaoamua kulinda afya zao kwaajili yao na watoto wao.!!!.

Mengine yalobaki ni masuala ya kuamua Kubadilika, akufae , umfae

"What is yours will always be yours no matter what "
Uko sawa mpenzi, bahati mbaya ninyi wenzetu mnaona fahari kuwa na msururu...akichovya hapa na pale ndio anajiona mwanaume haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati ili usonge mbele ujana NI lazima uuache pemben
Uko sawa mpenzi, bahati mbaya ninyi wenzetu mnaona fahari kuwa na msururu...akichovya hapa na pale ndio anajiona mwanaume haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwasababu ya kuchovyachovya Watu wameshindwa kufanya machaguzi sahihi. Matokeo yake wamekumbuka shuka pamekucha ,kila kitu kikiwa nje ya mstari !!!

Nanyie pia, Simnakua na wawili watatu eti unapima upepo haha

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Kuna wakati ili usonge mbele ujana NI lazima uuache pemben Na kwasababu ya kuchovyachovya Watu wameshindwa kufanya machaguzi sahihi. Matokeo yake wamekumbuka shuka pamekucha ,kila kitu kikiwa nje ya mstari !!!

Nanyie pia, Simnakua na wawili watatu eti unapima upepo haha

"What is yours will always be yours no matter what "
Hahaha ninyi ndio mnasababisha, kwa sababu hata unakuwa hujui mtu anawaza nini kichwani kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ninyi ndio mnasababisha, kwa sababu hata unakuwa hujui mtu anawaza nini kichwani kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuhhh hii ni dalili moja kua kila upande una hofu , watu hawana uhakika na wenzi wao hahahah

Ni hatare sana.... Matokeo yake, Watu wana ingia kwa mahusiano mgumu mmoja ndani mmoja nje...

Anaingia kwa interests zake , nakwasabbau hiyo yeye mapenzi huonyesha pale ambapo amepata kitu.

Aliyependa naye atahisi anachunwa tu. Naye ataanza kujitoa taratibuuuu. Naivo itatoka kwenye Dhati NA kuingia ktk Kutumiana .

UKIAMUA KUPENDA/KUPENDWA...UACHE MOYO UPENDE NA UPENDWE KWELIKWELI KAMA VILE HUJAWAHI KUPENDWA AU KUUMIZWA !!!!

wizi sio mzuri hahaha.

Ni hatari sana haha, mambo haya ni magumu sana. Unatamani ujue mwenzio anafikiria nini ila ndio hivyo huwezi daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hatari sana haha, mambo haya ni magumu sana. Unatamani ujue mwenzio anafikiria nini ila ndio hivyo huwezi daah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Imani tu.. Naona mazingira na experience za walozipitia watu zimewabadilisha sana.

Uyu katendwa nahuyu...anaamini hivi, naye utaenda kumuumiza yule hahahah

Mpaka lini?. Ukiona upo above 27+ nabado unahangaika , ujue hujui unachokitafuta "

Yaan hapa Duniani vitu havitokei kwa miujiza , Nivile unavyoamua vitokee.

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Hahaha Imani tu.. Naona mazingira na experience za walozipitia watu zimewabadilisha sana.

Uyu katendwa nahuyu...anaamini hivi, naye utaenda kumuumiza yule hahahah

Mpaka lini?. Ukiona upo above 27+ nabado unahangaika , ujue hujui unachokitafuta "

Yaan hapa Duniani vitu havitokei kwa miujiza , Nivile unavyoamua vitokee.

"What is yours will always be yours no matter what "
Mmh leo unatema madini hatari, umekula nini eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha unakaribishwa, kutongoza si kazi...kazi kupokea majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mnavyopendaga sifa, unajijua kabisa unamtu...

Lkn utaacha MTU amwage seraa..

Alafu baadae ndo... 'Nina MTU wangu hahaha'

Ndio sababu huwa naacha Wanianze wenyewe..kuepusha usumbufu km huo.

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Na mnavyopendaga sifa, unajijua kabisa unamtu...

Lkn utaacha MTU amwage seraa..

Alafu baadae ndo... 'Nina MTU wangu hahaha'

Ndio sababu huwa naacha Wanianze wenyewe..kuepusha usumbufu km huo.

"What is yours will always be yours no matter what "
Hahaha we mwaga sera, nikishasikia sera ndio nitaamua kama niko singo au nina mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kuwa crazy over you na bado nikachomoa, hunijui mimi wewe
Hahah uhakika ninao and yes because I care for you deeply, ngoja nitulieeeeee kwanza I want to take this slow

Ila kama unataka nifungulie Silaha zangu angaliaaa Utaishia kua Crazy about me

Back
Top Bottom