Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Uko sawa mpenzi, bahati mbaya ninyi wenzetu mnaona fahari kuwa na msururu...akichovya hapa na pale ndio anajiona mwanaume haswaaAahhh kwa nyakati zetu hizi, MTU anapokua kweli nawe kua Kweli, hamna faida ya kuhangaika., mtu anapoamua kuweka malengo , kua na malengo
( sijui ni sababu Watu wanakua hawajapendana ?)
Ikiwa watu wataitazama Dunia yetu ktk point ya maradhi, Ni Mwanamke na mwanaume pekee ambao ndio watakaoamua kulinda afya zao kwaajili yao na watoto wao.!!!.
Mengine yalobaki ni masuala ya kuamua Kubadilika, akufae , umfae
"What is yours will always be yours no matter what "
Sent using Jamii Forums mobile app