Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Nimewahi kumuacha mtu siku 3 tu baada ya mahusiano, maana alishachukua simu akabadili jina lake kaandika my love kanisevu hubby nikaona mimi siko tayari na mahusiano serious nitakuja muumiza nikamuacha.
Alilalamika sana akaniambia ananichukia ila mimi nikamwambia nimefanya haya kwa ajili yako sitaki nipretend uje unizoee sana utaumia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku tukakaa kuongelea future, nikamwambiaga tu kwasasa nahitaji kupumzika sihitaji kuwa kwenye mahusiano ndio ikawa kimojaaaaaaaaa
 
Makubwa haya hakuna hats kula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nipo Arusha mwaka 2015 nilipataga binti wa kichaga sikumwambia ukweli kama nimeoa na alikuwa bikra akawa ananipenda uyo ila nikaaa nikajifikiria nikaona sasa huyu binti ni bikra afu mm sina malengo nae mana nimeoa na cjamwambia nikaona nikisema nimtoe bikra na nimuache itakuwa miyeyusho sana uwezi amini nilimpotezea nikaja nikamwambia ukweli nikamwambia nasafiri naenda mbali sana nitatumia muaka 5 mpaka nirudi akaniambia sawa ila nikaw nipo chuga pale pale yy anajua nimeaafiri kuna siku akaniona Tengeru nanunua nguo pake sokoni aisee alini maind sana ila nilikuja nikamwambia ukweli naomba tuachane alilia uyo ila aliniomba tuwe marafiki tukawa tukawa marafiki ameshaolewa na katolewa bikra na mwanaume ambae ni tofauti na alie muoa aisee mm uwa naogopa sana mtoa mtu bikra au nisioe....

121.
 
Hahahaha alikugeuza kua Pumziko la nyege zake hatare sana..ulifanya vzuri kujiongeza
nilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku tukakaa kuongelea future, nikamwambiaga tu kwasasa nahitaji kupumzika sihitaji kuwa kwenye mahusiano ndio ikawa kimojaaaaaaaaa
Alikupa matunzo kweli??

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Hahahaha alikugeuza kua Pumziko la nyege zake hatare sana..ulifanya vzuri kujiongezaAlikupa matunzo kweli??

"What is yours will always be yours no matter what "
Mkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zangu
 
Hahahahahaha unanivunja mbavu, najaribu kujenga picha ,ulivokua unaiangalia hiyo simu ikiita Hahahaha
Mkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zangu
Matunzo hamna, simu za Hali hamna...akpga Ni mzigo nadhani ulikua umeshaliweka kichwan hahahaa .

Labda nawewe ulimzoesha ivo

"What is yours will always be yours no matter what "
 
nilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku tukakaa kuongelea future, nikamwambiaga tu kwasasa nahitaji kupumzika sihitaji kuwa kwenye mahusiano ndio ikawa kimojaaaaaaaaa
Tusipowapa haki yenu shida,Tukiwapa pia shida

ila Shola,kwanini hukumwambia ukweli kabla

ya kuchukua maamuzi ya kumuacha kimojaaa?
 
Wakati nipo Arusha mwaka 2015 nilipataga binti wa kichaga sikumwambia ukweli kama nimeoa na alikuwa bikra akawa ananipenda uyo ila nikaaa nikajifikiria nikaona sasa huyu binti ni bikra afu mm sina malengo nae mana nimeoa na cjamwambia nikaona nikisema nimtoe bikra na nimuache itakuwa miyeyusho sana uwezi amini nilimpotezea nikaja nikamwambia ukweli nikamwambia nasafiri naenda mbali sana nitatumia muaka 5 mpaka nirudi akaniambia sawa ila nikaw nipo chuga pale pale yy anajua nimeaafiri kuna siku akaniona Tengeru nanunua nguo pake sokoni aisee alini maind sana ila nilikuja nikamwambia ukweli naomba tuachane alilia uyo ila aliniomba tuwe marafiki tukawa tukawa marafiki ameshaolewa na katolewa bikra na mwanaume ambae ni tofauti na alie muoa aisee mm uwa naogopa sana mtoa mtu bikra au nisioe....

121.
Ulifanya vyema sana,japo kwa sasa wenye wanaweza kuruka

mitego ya namna hiyo ni wachache sana,wewe ukiwa mmoja wao.
 
Mkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zangu
shola una huruma wewe
 
Kuna mmoja huyo alikuwa ni vizinga tu mwanzo nilikuwa nampa kama anavyotaka nikihisi ataona aibu kwa vizinga vya kila mara.

Kadri navyo mpa ndivyo anaongeza moto walahi nilikimbia mahusiano.

Walahi yule alikuwa hana aibu si kwa vizinga vile karibia kila siku.

Hata papuchi sikugusa maana sikutaka aseme nimechakata papuchi ndio nimekimbia.

Nilikimbia kiroho safi ila si kwa vizinga vile.
mkuuuuu mabahalia hula papuchi kwanza
 
CONTROLA
Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!
Huyu hana tofauti na yule mzenji wangu daaah ilikua tabu... Mbaya zaidi aipige umetoka utasikia "yangu haina thamani" kashamaind na ndo mmeongea dk 20 zilizopita nkaona chakufia nini.... Hua nasubiri tu siku nimeamka sijielewi namwaga ugali.
 
Back
Top Bottom