Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hahahahaha nawewe hunijui sasa ,na utakua wa kwanza
Niendelee au nisiendeleee
"What is yours will always be yours no matter what "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha nawewe hunijui sasa ,na utakua wa kwanza
Hahahahaha nawewe hunijui sasa ,na utakua wa kwanza
Niendelee au nisiendeleee
"What is yours will always be yours no matter what "
Sasa je
Makubwa haya hakuna hats kula?nilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku tukakaa kuongelea future, nikamwambiaga tu kwasasa nahitaji kupumzika sihitaji kuwa kwenye mahusiano ndio ikawa kimojaaaaaaaaa
Mwanamke mwingine Hana Mambo ya maana ya kujadili nayeMwanaume anapenda sex kila mkikutana, hana muda wa kuongelea issue yoyote ya maana na hatak hata mtoke out muda wote anataka tuwe kwake na ni sex muda wote, nikaona isiwe tabu nikasepa kimya kimya. Hadi leo hajui kwa nn nilimuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikupa matunzo kweli??nilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku tukakaa kuongelea future, nikamwambiaga tu kwasasa nahitaji kupumzika sihitaji kuwa kwenye mahusiano ndio ikawa kimojaaaaaaaaa
Mkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zanguHahahaha alikugeuza kua Pumziko la nyege zake hatare sana..ulifanya vzuri kujiongezaAlikupa matunzo kweli??
"What is yours will always be yours no matter what "
Matunzo hamna, simu za Hali hamna...akpga Ni mzigo nadhani ulikua umeshaliweka kichwan hahahaa .Mkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zangu
Mwanamke mwingine Hana Mambo ya maana ya kujadili naye
Tusipowapa haki yenu shida,Tukiwapa pia shidanilkuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja, yule kaka jamani alikuwa napenda kufanya mapenzi khaaaaaa, yani atakupigia cmu anapojickia kufanya tu, lakini hawezi kukupigia cmu eti akujulie hali thubutuuuu nlikua nkiona cm yake tu jua unaitiwa mjegeje khaaaaaaa nikasema cfanyi upumbavu huu hakuna cku tukakaa kuongelea future, nikamwambiaga tu kwasasa nahitaji kupumzika sihitaji kuwa kwenye mahusiano ndio ikawa kimojaaaaaaaaa
Ulifanya vyema sana,japo kwa sasa wenye wanaweza kurukaWakati nipo Arusha mwaka 2015 nilipataga binti wa kichaga sikumwambia ukweli kama nimeoa na alikuwa bikra akawa ananipenda uyo ila nikaaa nikajifikiria nikaona sasa huyu binti ni bikra afu mm sina malengo nae mana nimeoa na cjamwambia nikaona nikisema nimtoe bikra na nimuache itakuwa miyeyusho sana uwezi amini nilimpotezea nikaja nikamwambia ukweli nikamwambia nasafiri naenda mbali sana nitatumia muaka 5 mpaka nirudi akaniambia sawa ila nikaw nipo chuga pale pale yy anajua nimeaafiri kuna siku akaniona Tengeru nanunua nguo pake sokoni aisee alini maind sana ila nilikuja nikamwambia ukweli naomba tuachane alilia uyo ila aliniomba tuwe marafiki tukawa tukawa marafiki ameshaolewa na katolewa bikra na mwanaume ambae ni tofauti na alie muoa aisee mm uwa naogopa sana mtoa mtu bikra au nisioe....
121.
shola una huruma weweMkuu ckuwahi kupokea matunzo afu mie nlikuwa naogopa kumuomba hela nilikuwa nahisi ataniona mm napenda hela, basi buana hela cpewi matunzo cpati lakini akibanwa tu cmu hii hapa eti njoo nimekumic kweli,,, pumbavu kweliiii nikamkimbia zangu
mkuuuuu mabahalia hula papuchi kwanzaKuna mmoja huyo alikuwa ni vizinga tu mwanzo nilikuwa nampa kama anavyotaka nikihisi ataona aibu kwa vizinga vya kila mara.
Kadri navyo mpa ndivyo anaongeza moto walahi nilikimbia mahusiano.
Walahi yule alikuwa hana aibu si kwa vizinga vile karibia kila siku.
Hata papuchi sikugusa maana sikutaka aseme nimechakata papuchi ndio nimekimbia.
Nilikimbia kiroho safi ila si kwa vizinga vile.
Huyu hana tofauti na yule mzenji wangu daaah ilikua tabu... Mbaya zaidi aipige umetoka utasikia "yangu haina thamani" kashamaind na ndo mmeongea dk 20 zilizopita nkaona chakufia nini.... Hua nasubiri tu siku nimeamka sijielewi namwaga ugali.CONTROLA
Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!