Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo;

1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye kukupa hela sawa sawa kwa ajili kukidhi mahitaji muhimu hupunguza furaha maishani kwani unashangaa siku zinaenda na kuna vitu fulani ulikuwa unataka kuvitekeleza lakini ndio hivyo tena umeshindwa.

2.Kuongezeka kwa majukumu; hii hutokea hata kama una hela na umetokea familia ya kuungaunga unashangaa ukoo mzima macho kwako. Kila tatizo wanataka wewe kulitatua.

3.Kipato chako kinachukuliwa na vitu vya ajabu ajabu. Mf. Michango ya harusi, kanisani, sherehe za ajabu ajabu, malaya, pombe, kubet na majanga yasiyo ya kutarajia.

4.Kukumbana na migogoro isiyokuwa na suluhisho; mf. Migogoro ya ardhi, kazini, wachumba, wake, familia na ndugu. Hii hupoteza furaha katika maisha.

5.Vitisho vya hapa na pale; kadri umri unavyoongeza unakumbana na vitisho vya ajabu na mauzauza tofauti na ulipokuwa mtoto ulikuwa na uwezo wa kujiamini zaidi ya sasa. Mf. Ukifanya kazi au biashara vizuri unakumbana na wachawi, wezi, majira ya mwaka mbaya (hakuna mvua, joto kali, wadudu, wanyama waharibifu n.k) hivi vitu hutupotezea furaha.

6.Vivyo hivyo kuna marafiki kutoka shule ya msingi hadi ngazi nyinginezo za juu umewapoteza kwa sababu mbalimbali. Vivyo hivyo unakutana marafiki wapya wabaya na wema (wema ni wachache sana) kwa wakati mwingine hawana msaada mkubwa sana maishani mwako.

7.Ukichunguza kazi unayoifanya siyo fani yako ama uliyokuwa kwenye ndoto zako. Hapa ndipo wengi huishiwa furaha na maisha kabisa kwan unafanya kama unasukumwa.

8.Kupitia vipindi vya ajabu vyenye huzuni; (pole kama nimekugusa) kumbuka kuomba unachokiamini kikusaidie hata kama huamini uwepo wa Mungu wa muumba wa vyote ulimwenguni. Kuna watu hivi sasa kutokana hali kupambana na maisha wameathirika kiafya kutoka na ajali na magonjwa, wengine sura na mvuto ulikuwa sio ule wa mwanzo(😭💔 jamani pole) umekata tamaa na maisha kabisaaa na huna mtu wa kukushika mkono. (Kuna watu tunawaita ni malaya wapo wanauza bar huku wakijuiza na kupata magonjwa si kwa kupenda kwao bali wamejikuta tu ni kama ajali, na hawana watu wa kuwaongoza) kuna watu wamepata ajali kazini, kwenye vyombo vya usafiri basi tu ni heka heka za maisha.

Wako proton pump inhibitor kifaa cha kupima vidonda vya tumbo ndiyo chanzo cha jina langu. Usisije kuja PM kwa masuala kisaikolojia I am a psychologist, psychotherapist, psychiatrist. dronedrake Poor Brain Nyamwi255 To yeye Evelyn Salt Intelligent businessman
 
Kuongezeka kwa majukumu; hii hutokea hata kama una hela na umetokea familia ya kuungaunga unashangaa ukoo mzima macho kwako. Kila tatizo wanataka wewe kulitatua.

Kipato chako kinachukuliwa na vitu vya ajabu ajabu. Mf. Michango ya harusi, kanisani, sherehe za ajabu ajabu, malaya, pombe, kubet na majanga yasiyo ya kutarajia.

Kukumbana na migogoro isiyokuwa na suluhisho; mf. Migogoro ya ardhi, kazini, wachumba, wake, familia na ndugu. Hii hupoteza furaha katika maisha.

Vitisho vya hapa na pale; kadri umri unavyoongeza unakumbana na vitisho vya ajabu na mauzauza tofauti na ulipokuwa mtoto ulikuwa na uwezo wa kujiamini zaidi ya sasa. Mf. Ukifanya kazi au biashara vizuri unakumbana na wachawi, wezi, majira ya mwaka mbaya (hakuna mvua, joto kali, wadudu, wanyama waharibifu n.k) hivi vitu hutupotezea furaha.

Vivyo hivyo kuna marafiki kutoka shule ya msingi hadi ngazi nyinginezo za juu umewapoteza kwa sababu mbalimbali. Vivyo hivyo unakutana marafiki wapya wabaya na wema (wema ni wachache sana) kwa wakati mwingine hawana msaada mkubwa sana maishani mwako.

Ukichunguza kazi unayoifanya siyo fani yako ama uliyokuwa kwenye ndoto zako. Hapa ndipo wengi huishiwa furaha na maisha kabisa kwan unafanya kama unasukumwa.

Kupitia vipindi vya ajabu vyenye huzuni; (pole kama nimekugusa) kumbuka kuomba unachokiamini kikusaidie hata kama huamini uwepo wa Mungu wa muumba wa vyote ulimwenguni. Kuna watu hivi sasa kutokana hali kupambana na maisha wameathirika kiafya kutoka na ajali na magonjwa, wengine sura na mvuto ulikuwa sio ule wa mwanzo(😭💔 jamani pole) umekata tamaa na maisha kabisaaa na huna mtu wa kukushika mkono. (Kuna watu tunawaita ni malaya wapo wanauza bar huku wakijuiza na kupata magonjwa si kwa kupenda kwao bali wamejikuta tu ni kama ajali, na hawana watu wa kuwaongoza) kuna watu wamepata ajali kazini, kwenye vyombo vya usafiri basi tu ni heka heka za maisha.

Fanya matendo ya huruma kadri umri inavyosogea hii itakufanya kuwa na mchango chanya katika jamii yako.
 
Kweli hauna furaha.Umeanza kuiorodhesha 1 halafu ukakosa furaha na kutoendelea na 2,..!
 
Nina furaha.
Namshukuru Mungu yote niliyoyafanyq.
Siyo yote yako positive ila nina furaha

Naweza hata kumtumikia Mungu sasa.

Naweza hata kuogea sabuni nzuri, kupaka mafuta mazuri, kupuliza manukato mazuri.

Namshukuru Mungu kwa yote.
 
Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo;

1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye kukupa hela sawa sawa kwa ajili kukidhi mahitaji muhimu hupunguza furaha maishani kwani unashangaa siku zinaenda na kuna vitu fulani ulikuwa unataka kuvitekeleza lakini ndio hivyo tena umeshindwa.

2.Kuongezeka kwa majukumu; hii hutokea hata kama una hela na umetokea familia ya kuungaunga unashangaa ukoo mzima macho kwako. Kila tatizo wanataka wewe kulitatua.

3.Kipato chako kinachukuliwa na vitu vya ajabu ajabu. Mf. Michango ya harusi, kanisani, sherehe za ajabu ajabu, malaya, pombe, kubet na majanga yasiyo ya kutarajia.

4.Kukumbana na migogoro isiyokuwa na suluhisho; mf. Migogoro ya ardhi, kazini, wachumba, wake, familia na ndugu. Hii hupoteza furaha katika maisha.

5.Vitisho vya hapa na pale; kadri umri unavyoongeza unakumbana na vitisho vya ajabu na mauzauza tofauti na ulipokuwa mtoto ulikuwa na uwezo wa kujiamini zaidi ya sasa. Mf. Ukifanya kazi au biashara vizuri unakumbana na wachawi, wezi, majira ya mwaka mbaya (hakuna mvua, joto kali, wadudu, wanyama waharibifu n.k) hivi vitu hutupotezea furaha.

6.Vivyo hivyo kuna marafiki kutoka shule ya msingi hadi ngazi nyinginezo za juu umewapoteza kwa sababu mbalimbali. Vivyo hivyo unakutana marafiki wapya wabaya na wema (wema ni wachache sana) kwa wakati mwingine hawana msaada mkubwa sana maishani mwako.

7.Ukichunguza kazi unayoifanya siyo fani yako ama uliyokuwa kwenye ndoto zako. Hapa ndipo wengi huishiwa furaha na maisha kabisa kwan unafanya kama unasukumwa.

8.Kupitia vipindi vya ajabu vyenye huzuni; (pole kama nimekugusa) kumbuka kuomba unachokiamini kikusaidie hata kama huamini uwepo wa Mungu wa muumba wa vyote ulimwenguni. Kuna watu hivi sasa kutokana hali kupambana na maisha wameathirika kiafya kutoka na ajali na magonjwa, wengine sura na mvuto ulikuwa sio ule wa mwanzo(😭💔 jamani pole) umekata tamaa na maisha kabisaaa na huna mtu wa kukushika mkono. (Kuna watu tunawaita ni malaya wapo wanauza bar huku wakijuiza na kupata magonjwa si kwa kupenda kwao bali wamejikuta tu ni kama ajali, na hawana watu wa kuwaongoza) kuna watu wamepata ajali kazini, kwenye vyombo vya usafiri basi tu ni heka heka za maisha.

Wako proton pump inhibitor kifaa cha kupima vidonda vya tumbo ndiyo chanzo cha jina langu. Usisije kuja PM kwa masuala kisaikolojia I am a psychologist, psychotherapist, psychiatrist. dronedrake Poor Brain Nyamwi255 To yeye Evelyn Salt Intelligent businessman
Namba 1☹️
 
Back
Top Bottom