Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

Niliamini nikijenga nyumba, nikiwa na familia na uhakika wa maisha basi nitakuwa na furaha isiyo na kifani. Nashukuru mungu nimefanikisha but still normal nawaza makubwa zaidi na ndipo furaha upotea
 
Nina furaha.
Namshukuru Mungu yote niliyoyafanyq.
Siyo yote yako positive ila nina furaha

Naweza hata kumtumikia Mungu sasa.

Naweza hata kuogea sabuni nzuri, kupaka mafuta mazuri, kupuliza manukato mazuri.

Namshukuru Mungu kwa yote.
Wanawake na vipodozi na manukato😂, namuona mke wangu pitia hii comment
 
Ukitaka kuwa na furaha,tafuta watu uwape furaha.
Mfano,somesha yatima mmoja,saidia mhitaji mmoja,nafsi yako itapata faraja na furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…