Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Hiyo imewahi kunitokea Kuna dada mmoja nilikuwa nimepanga nae nyumba mmoja, yule dada alikuwa ni msukuma wa bariadi na alikuwa wowowo balaa.....siku moja ameenda mwanza kupokea mzigo wa suruali za mtumba ( ndio ilikuwa biashara zake) gari ilirudi reverse ikamgonga na alikufa palepale,....,.walikuja ndugu zake kuchukua vitu ....rest peace kibonge mwitu.Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea.
Hakika nyuma yake mbele yetu.