Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

Tuliwahi kufiwa na mpangaji wetu, alipojifungua tu akapata Postpartum depression ikampelekea kwenye suicide akamuacha kichanga wake,
Continue to rest easy beautiful🙏😭
 
Jirani yako ni ndugu yako wa hiyari ndio maana hata wazee hutusihi kuishi vizuri na watu.

Jirani yako anaweza kujua kuwa leo umeamka salama ama la. Likitokea tatizo msaada wa kwanza utapata kwa jirani yako.

Wapende majirani zako usiwe na kisirani nao. Wakiwa na shida kuwa wakwanza kurespond. Unapojisikia kuwapa zawadi usisite kufanya hivyo. Ukienda safari ukinunua kilo 50 za mchele ongeza na 30 za jirani yako. Ukifika mwambie nilikubebea huu mchele uonje unambie kama ni mzuri,yeye atajiongeza sababu kilo 30 hapa mjini utanunua kwa bei gani.
 
Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea.
Hakika nyuma yake mbele yetu.
Kipindi nimepata ajari na kuvunjika mguu nikiwa sijiwezi mtu wa kusaidiwa kuhamishwa hapa na pale muda Kama huu mwaka Jana nilikua kwenye hayo mapito.

Mzee mmoja jirani yangu na mkewe walikua wanakuja wananisalimu siku moja mwezi huu huu wa tatu mwaka Jana kwa siku mbili isiyo kawaida MAPAKA YAKAWA YANAPITA MADIRISHANI YANALIA KWA UCHURO YANALIA KAMA YANANUN'GUNIKA AISEE

siku ya pili mzee akafariki gafla ndani mwake duu ilikua ni huzuni na simanzi Sanaa sanaa
 
Hakika inauma sana
 
Jirani yako ni ndugu yako wa hiyari ndio maana hata wazee hutusihi kuishi vizuri na watu.

Jirani yako anaweza kujua kuwa leo umeamka salama ama la. Likitokea tatizo msaada wa kwanza utapata kwa jirani yako.

Wapende majirani zako usiwe na kisirani nao. Wakiwa na shida kuwa wakwanza kurespond. Unapojisikia kuwapa zawadi usisite kufanya hivyo. Ukienda safari ukinunua kilo 50 za mchele ongeza na 30 za jirani yako. Ukifika mwambie nilikubebea huu mchele uonje unambie kama ni mzuri,yeye atajiongeza sababu kilo 30 hapa mjini utanunua kwa bei gani.
Hakika majirani ni watu wa kuishi nao vizuri sana, binafsi najitahidi sana kuishi nao vema japo mara nyingi na mind business zangu
 
Msiba upo hapo hapo upangajini?! Kuna wenye nyumba wengine wakuda huwa hawataki msiba wa mpangaji kwenye premises zao
Msiba unasafirishwa kutokea hospitali so hapa upangajini hakuna lolote like nothing happened
 
Ukiona mtu amekufa Ila anachelewa kuondoka katika akili yako hapo kinachokuwa kimepelekea hiyo hali ni nishati yake kuwa kubwa
 
Back
Top Bottom