Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Hiyo imewahi kunitokea Kuna dada mmoja nilikuwa nimepanga nae nyumba mmoja, yule dada alikuwa ni msukuma wa bariadi na alikuwa wowowo balaa.....siku moja ameenda mwanza kupokea mzigo wa suruali za mtumba ( ndio ilikuwa biashara zake) gari ilirudi reverse ikamgonga na alikufa palepale,....,.walikuja ndugu zake kuchukua vitu ....rest peace kibonge mwitu.Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea.
Hakika nyuma yake mbele yetu.
Asante mkuuPole mkuu
Duh kibonge mwitu tena😂Hiyo imewahi kunitokea Kuna dada mmoja nilikuwa nimepanga nae nyumba mmoja, yule dada alikuwa ni msukuma wa bariadi na alikuwa wowowo balaa.....siku moja ameenda mwanza kupokea mzigo wa suruali za mtumba ( ndio ilikuwa biashara zake) gari ilirudi reverse ikamgonga na alikufa palepale,....,.walikuja ndugu zake kuchukua vitu ....rest peace kibonge mwitu.
Ukiwa hukumbuki jambo lolote la kufiwa,ndo unaweza kuwaza vingine.Kufiwa ukiisoma vibaya inaleta maana nyingine yaan basi tu
Wewe umewahi kufiwa na mpangaji mwenzio?Ukowa hukumbuki jambo lolote la kufiwa,ndo unaweza kuwaza vingine.
Aisee watu wanakufa mkuuHapana mkuu sio mbezi beach
Yule dada alikuwa na wowowo halafu bonge la mama, alivyokuwa mchokozi alikuwa akiwa anaenda bafuni anajifunga taulo inaishia kwenye matiti halafu akipiga hatua unaliona paja..Duh kibonge mwitu tena😂
Kama ndugu hawaijui hiyo nyumba mtakaa bure milele
Inatokea mkuu japo si mara nyingi, ninao ushahidi mtu alikuwa na nyumba ya kupangisha hakuna yeyote kati ya ndugu watoto hata mke aliekuwa anajua kama ni nyumba yake zaidi ya mjumbe, baada ya msiba mjumbe ndo akaanza kutafuta ndugu zake.Bongo hii hii ndugu wasiijue nyumba ya ndugu yao.
Labda viwanja unaweza ukaotea ila sio nyumba iliyojengwa
Ndomaana nilivyoona tu thread,nikamkumbuka yule dada,alifariki ghafla na mengi yalijulikana kuhusu yule dada,alikua mpole.Kitambulisho cha mpiga kura cha fundi cherehani kilikutwa mle,suruali ya fundi pikipiki ilikutwa mle na mambo n.k.Wewe umewahi kufiwa na mpangaji mwenzio?
Asante sana,mbele yake nyuma yetuPole kwa kufiwa, jirani apumzike kwa amani.
Basi mkuu marehemu hasemwi kwa namna hiyoYule dada alikuwa na wowowo halafu bonge la mama, alivyokuwa mchokozi alikuwa akiwa anaenda bafuni anajifunga taulo inaishia kwenye matiti halafu akipiga hatua unaliona paja..
Kilikua kinafanya nini?Kitambulisho cha mpiga kura cha fundi cherehani kilikutwa mle
Asante mkuu, ukweli kifo ni ukumbusho tosha.Pole sana mkuu....duniani tunapita ukifiwa ndio hukumbuka kuwa hapa si pa kudumu.....mimi alikufa vube mate O level nilipagawa.....haijatoka todate
Duuh lakini sasa hivi amelala mifupa tupuYule dada alikuwa na wowowo halafu bonge la mama, alivyokuwa mchokozi alikuwa akiwa anaenda bafuni anajifunga taulo inaishia kwenye matiti halafu akipiga hatua unaliona paja..
Ndio hivyoDuuh lakini sasa hivi amelala mifupa tupu
Muda mwingine wanakuja kugawana wapangaji kama wazungu walivyogawana bara la Africa.akifa mwenye nyumba wapangaji Huwa wanakaa chonjo..varangati la ndugu kuuza nyumba ,husababisha ngumi kurindima mpaka sebuleni kwa wapangaji