Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Kama wewe ni mimi na mimi ni wewe mbona linapokuja suala la kufurahi hatufurahi wote au kuumia hatuumii wote?

Au ni nini kinatenganisha matendo haya?

Kitenganishacho ni Space na Time.
 
Lengo langu la maelekezo haya:

Ni kukufanya utafakari kwa kina kuhusu urself. Wengi wanajitambulisha na kujiaminisha identity ambayo sio ya KWELI. Hivyo jichunguze, angalia vinavyopita kisha vitoe vyenye mwanzo na mwisho.

Ego ni false personality ambayo mtu anaishikilia maishani mwake. True Self is permanent, is not limited with time and space. Na true self is the true nature of every being and every thing is the universe. Just focus on yourself and realize it. Sio imagination, its REAK. True self is the REALITY.
 
Ufahamu mkubwa wa jambo fulani haina maana ya kuwa hilo jambo ndio sahihi.
Kuna mitazamo tofauti duniani katika mambo kama haya,na haiwezekani yote yakawa sahihi.
 
natamani nikuelewe bt nashndwa kabsa. unamaanisha nin apollo.....?
 
Just take your time to meditate spiritually, mentally n physically then you will understand who you are?
 
Mimi ni nyie wote duniani.Na wewe unaesoma ni sisi wote dunian.sisi ni mtu mmoja.
 
Hili swali nilikua najiuliza sana kipindi nikiwa mdogo.Hasa nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele yoyote.Hadi nikawa najikuta najishangaa mwenyewe!
Lakini siku hizi kila nikijaribu nashindwa sijui kwanini!
WTfffff....

Huyu ni mimi kabisaa...
hata nilipoanza huu uzi nimejaribu
ila nimeshindwa
hua najaribu mara nyingi siku hizi
ila siwezi tena
zamani ilikua nikitulia napotea kabisa
sijui nlikua najisikiaje
nakumbuka sana
nilikua nahisi ni mimi tuu
kumbe kuna wengine
 
WTfffff....

Huyu ni mimi kabisaa...
hata nilipoanza huu uzi nimejaribu
ila nimeshindwa
hua najaribu mara nyingi siku hizi
ila siwezi tena
zamani ilikua nikitulia napotea kabisa
sijui nlikua najisikiaje
nakumbuka sana
nilikua nahisi ni mimi tuu
kumbe kuna wengine
Sasa hivi kichwa kina mambo mengi,stress kibao...
Maisha magumu.
Ukijaribu kujiuliza hilo yanakuja mambo kibaooooo!
Ukubwa jaha.. [emoji25]
 
Back
Top Bottom