Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

hakuna anayejitambua kuwa yeye ni nani kwakuwa wakati tunazaliwa hatukuwahi kuambiwa sisi nani
 

Hakika. [emoji106]
 

Sifahamu undani wa hilo jambo lako ndugu yangu. Japokuwa unaweza kuwa upo sahihi kuwa sisi sio wanadamu wa miili bali ni wanadamu wa nafsi ambapo kwa sasa tuna miili.

Just endelea kutafuta suluhisho la tatizo lako na ukipata jibu ambalo unaona lina ukweli fulani usisite kuja kutuambia uelewa wako.

Karibu
 
hakuna anayejitambua kuwa yeye ni nani kwakuwa wakati tunazaliwa hatukuwahi kuambiwa sisi nani

Hakuna atakaye kuambia wewe ni nani kwa sababu hata ulipozaliwa, waliokuzaa na waliokuwa karibu na wewe nao walizaliwa kama wewe na hawajui kabla ya kuzaliwa walikwepo wapi, wametoka wapi na wao ni nani. Zaidi ya kuwa nao wanatumia ufahamu wanaoikuta kwenye jamii.
 
ndio maana hatujui maisha baada ya kifo yapoje
 
ndio maana hatujui maisha baada ya kifo yapoje

Ndio

Lakini Lengo la mada sio kujua maisha baada ya kifo yapoje. Ni kutumia wakati huu ulio nao kujitambua wewe ni nani. As long as you are alive, find answers.
 
Saka uzi wa rakims habari lucid dream na astral projection. Ww mwili wako unafanya lucid. Kwa maelezo zaidi usake kisha unipe jibu umejielewa ukifanyacho ama laa.
 
Ngoja niusake nikutag
 
umeenda vizur lakin umeshindwa kumalizia hapo mwisho....binadam n nan??????????
 
Hili swali nilikua najiuliza sana kipindi nikiwa mdogo.Hasa nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele yoyote.Hadi nikawa najikuta najishangaa mwenyewe!
Lakini siku hizi kila nikijaribu nashindwa sijui kwanini!
Mkuu hali ii ishanikuta ata mm katika age flan ivi kam yako.
Najikuta nastuka ucngizn zen naanza kuwaza San kutok uhai mpk kifo zen roho inaniuma San nikifik kweny kifo kwan nawaz ctawez kuwaona hawa wote ninao wafhm,dah ndo kimbembe nafikia hadi kupiga makelel .ila cku izi mbona fresh tu coz somtaim nataman ata kfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…