Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

mkuu kusema mimi na wewe ni kitu kimoja mie nakataa koz hatuwez kuwa sehem moja in a same time we can look similer but we must have a diferent characteristics
hili pia ni swala la maana hata existens yetu ina tofauti
ukitaka kusema mimi na wewe ni kitu kimoja basi sisi si kitu (nothing)
 
Mimi ni mimi tuuu!siwezi kua nani coz wewe ni wewe tu!
Na kukiwa hakuna body jua nafsi haziwezi kuwasiliana baina yangu mimi na wewe ndio maana unachokiwaza wewe mi siwezi jua wala ninacho waza mimi wewe huwezi jua.
 
mi tangu utotoni nilishajiulizaga sana hili swali nikawa sipati jibu kamili,nikawa siamini kama mimi ni mimi,maana najua watu wanakufaga na kuzikwa,same to me nitakufa,lakini kwanini mimi ni mimi hivyi nilivyo na sio vile walivyo,je nafanyaje hapa duniani?niishi tu halafu nife itasaidia nini basi huo uwepo wangu ulivyokuwa humu duniani?je wavumbuzi wa vitu mbalimbali wamemaliza kazi yao ya kuwepo hapa?najiulizaga hata sasa sema kuna kitu kinanitokea labda cha kutia uvivu nasema ipo siku nitaenda mahali fulani tulivu labda nitajua ila majukumu ndo cku haifikagi tu,ah haya bana ila naaminigi kama natakiwa nifahamu nitafahamu tu hata kwa bahati mbaya,coz ctaki kujua baada ya kufa maana cjui nitamlaumu nani.
 
we jibu sahihi umepewa unaongezea na mambo yako mengine ambayo hayahusiki hapa

Sijaongezea nimeuliza tu maana hata mtu akifa mwili unabaki kuwa wa marehemu. Sasa huyo marehemu unakuta yuko wapi hadi asahau nyumba yake ambayo ndio mwili.
 
Bado hujanipa jibu! Binadamu ni yule tumuonaye kwa haya macho ya kawaida,ila wewe HALISI hatukujui.

Na ndio maana mwanadamu akifa tukiuona mwili wake, deeply inside of ourselves tunajua kabisa sio yeye tena. Umebaki mwili tu ambao tunauheshimu kwani ndio uliokuwa unabeba "self" yake. Mwili unakuwa hauna umuhimu tena. Ni kuufukia kwani umetoka na umeumbwa kwa elements za dunia hii. Chakula na vinywaji ambavyo vimeushibisha na kuujenga mwili ni chembechembe za dunia ambazo tunaziingiza kwenye miili kuishi, tukifa zinarudi katika chanzo chake na ufahamu wetu unarudi katika chanzo chake.

(Wooooow, life is a miracle, life is amazing. hivyo ndivyo akili yangu inavyofurahia wakati nikiandika hayo maneno mazito)
 
Mimi ni Roho iliyotoka mbinguni huh mwili umetengenezwa na Baba yangu na mama yangu ila Roho yangu imetoka mbinguni, ikumbukwe Mungu ni Roho na aliniumba kwa mfano wake hivyo Mimi ni Roho ndio maana Nina hali mbili, hali ya Rohoni na hali ya mwilini ila yenye nguvu ni ile ya Rohobi maana ndio Mimi halisi upoooo?
 
Na ndio maana mwanadamu akifa tukiuona mwili wake, deeply inside of ourselves tunajua kabisa sio yeye tena. Umebaki mwili tu ambao tunauheshimu kwani ndio uliokuwa unabeba "self" yake. Mwili unakuwa hauna umuhimu tena. Ni kuufukia kwani umetoka na umeumbwa kwa elements za dunia hii. Chakula na vinywaji ambavyo vimeushibisha na kuujenga mwili ni chembechembe za dunia ambazo tunaziingiza kwenye miili kuishi, tukifa zinarudi katika chanzo chake na ufahamu wetu unarudi katika chanzo chake.

(Wooooow, life is a miracle, life is amazing. hivyo ndivyo akili yangu inavyofurahia wakati nikiandika hayo maneno mazito)

Nimekuelewa asante :thumbup:
 
Back
Top Bottom