MIMI NI BINADAMU
Kwisha kazi mjadaLa ufungwe na hiLi ndio jibu sahihi
Wewe ni binadamu ndio, je huo mwili ni wa nani? Ambao ndio wa damu na nyama.
Wewe ni binadamu ndio, je huo mwili ni wa nani? Ambao ndio wa damu na nyama.
Wewe ni binadamu ndio, je huo mwili ni wa nani? Ambao ndio wa damu na nyama.
huu mwili mwiLi ni maLi ya ardhi/dunia na ndio maana siku nitakapokufa nitauacha ardhini/duniani
we jibu sahihi umepewa unaongezea na mambo yako mengine ambayo hayahusiki hapa
Aaaaah unazingua mi nimekupa jibua sahihi
Sawa lakini nani anaumiliki kwa sasa, siniwewe? Sasa niambie wewe unaoumiliki huo mwili ni nani π[/QUOTE
Mkuu huu mwiLi niLio nao una umbile la mbwa au binadamu!????
Nimetoka empty tupu kabisa
Sawa lakini nani anaumiliki kwa sasa, siniwewe? Sasa niambie wewe unaoumiliki huo mwili ni nani π[/QUOTE
Mkuu huu mwiLi niLio nao una umbile la mbwa au binadamu!????
Wewe ndio unajua kuwa mwili wako una umbile gani mkuu. π
Bado hujanipa jibu! Binadamu ni yule tumuonaye kwa haya macho ya kawaida,ila wewe HALISI hatukujui.
Na ndio maana mwanadamu akifa tukiuona mwili wake, deeply inside of ourselves tunajua kabisa sio yeye tena. Umebaki mwili tu ambao tunauheshimu kwani ndio uliokuwa unabeba "self" yake. Mwili unakuwa hauna umuhimu tena. Ni kuufukia kwani umetoka na umeumbwa kwa elements za dunia hii. Chakula na vinywaji ambavyo vimeushibisha na kuujenga mwili ni chembechembe za dunia ambazo tunaziingiza kwenye miili kuishi, tukifa zinarudi katika chanzo chake na ufahamu wetu unarudi katika chanzo chake.
(Wooooow, life is a miracle, life is amazing. hivyo ndivyo akili yangu inavyofurahia wakati nikiandika hayo maneno mazito)
Wewe ndio unajua kuwa mwili wako una umbile gani mkuu. π
Mimi ni binadamu kwa sababu hili umbile ni kibinadamu na linamilikiwa na binadamu