Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Umeshawahi kujiuliza wewe ni nani?

Ni kweli wewe kama ni wewe, lakini tambua kuwa kuna Oneness katika ulimwengu. Wewe ni mimi na mimi ni wewe lakini at the same time I Am That I am. Unapomkosea mwanadamu mwenzio unakuwa hujamkosea yeye bali umejikosea wewe kwani yeye ni sehemu yako wewe. Unavyoona kila mtu yuko kivyake kama wewe ni Illusion/Uongo/Mtihani. Ndio maana tunafundishwa mtendee mwenzio ambacho unapenda utendewe, kwa sababu unajitendea wewe. Unaposaidia mtu unajisaidia wewe, unapomuumiza mtu unajiumiza wewe bila kujua. Utakuja kujua
baada ya maisha yako umuhimu wake lakini kwa sasa ni kama mtihani kwako.

Hivyo inakupasa kuepuka ubinafsi.

Kasoro unapomzika mwenzio haujiziki na wala hatokuzika ha ha ha ha!
 
Kuna kitu unataka kukieleza ila hakielezeki hivyo tunakua hatukuelewi

Usijali ndugu yangu, naomba unielekeze nami nizidi kufahamu au nifahamu mtazamo wako. Kuwa huru.
 
Kasoro unapomzika mwenzio haujiziki na wala hatokuzika ha ha ha ha!
Lakini kama sisi wote ni wanadamu na tukijikata damu inatoka unafikiri utakuwa tofauti na yeye? :glasses-nerdy:
 
Look deeply within you, Ask your self "who am I?" Then every identity that come to the mind, observe it and criticize it if it have limitation of time and space. The whole concept is to eliminate all the negative identity we have learnt from the society, parents (who didn't spend time to find the truth), and to find our true identity that last and not taken by wordily end/death.

Duu nitafanya hivyo
 
Mimi ni mimi hakuna mwingine kama mimi. Hata tungezaliwa mapacha lakini yeye hawezi kuwa mimi.
Nice, je una kipi ambacho ni tofauti na mimi na wewe mbali na muonekano na DNA?
 
Hili swali nilikua najiuliza sana kipindi nikiwa mdogo.Hasa nikikaa sehemu tulivu isiyo na kelele yoyote.Hadi nikawa najikuta najishangaa mwenyewe!
Lakini siku hizi kila nikijaribu nashindwa sijui kwanini!

Uko kama mimi kabisa.., nashindwa kuelewa kwanini, nahisi kama vile kwa sasa naziona limits, unajua ukiwa mdogo unakuwa hauna limits kwenye mawaza ila kadiri mda unavoenda unajikuta unaanza kuona reality, pia kuna vitu ulikuwa hujawahi kufanya ambavyo vinafanya mind iwe corrupted, vipo vingi sana ambavyo nakumbuka nlisema sitakaa nifanye lakini sasa nimeshavifanya. KUNA NADHARIA PANA SANA KWENYE KUJIDEFINE KUWA WEWE NI NANI
 
hata mimi zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa nikijiuliza hilo swali lakini sikuwahi kupata jibu.
mbaka nikajiuliza kwanini nimezaliwa, kwanini asingezaliwa mtu mwingine badala yangu.
 
Uko kama mimi kabisa.., nashindwa kuelewa kwanini, nahisi kama vile kwa sasa naziona limits, unajua ukiwa mdogo unakuwa hauna limits kwenye mawaza ila kadiri mda unavoenda unajikuta unaanza kuona reality, pia kuna vitu ulikuwa hujawahi kufanya ambavyo vinafanya mind iwe corrupted, vipo vingi sana ambavyo nakumbuka nlisema sitakaa nifanye lakini sasa nimeshavifanya. KUNA NADHARIA PANA SANA KWENYE KUJIDEFINE KUWA WEWE NI NANI

Yeah, hata mimi hua naona ni kwa sababu sasa nimekua mkubwa na nina mambo mengi ya kufanya vilevile kichwa kimejaa mambo mengi tofauti na nilivyokua mtoto.
Utoto raha sana, no stress tofauti na sasa.
Hivi sasa ukitaka kujiuliza wewe ni nani mara yanakuja mawazo mengine!
 
Kweli ukubwa umekuja na mambo yake bana
 
Iam who God Said Iam,
and i have what he said i have..
iam a new creation,
an overcomer
a bundle of succes and a partaker of a devine nature~Iam Elimring Moshi
 
Kwa maelezo yako mwishoe utasema....

WEWE SI WEWE. . . .

Kizzy, umenikumbusha filamu moja maarufu ya Jack Chan: 'Who am I'.
Baada ya Jack Chan kuanguka ktk ajali ya ndege, alipata brain concussion na kuokotwa na Wazulu kule SA na kupewa treatment kwa kunyweshwa machicha ya dawa za kienyezi. Alipopata nafuu.kidogo, kila siku alikuwa akijiuliza: 'WHO AM I?'. Nina wasi wasi na mleta uzi, isijekuwa ana mental disorder kama ilivyokuwa kwa Jack Chan!
 
Uko kama mimi kabisa.., nashindwa kuelewa kwanini, nahisi kama vile kwa sasa naziona limits, unajua ukiwa mdogo unakuwa hauna limits kwenye mawaza ila kadiri mda unavoenda unajikuta unaanza kuona reality, pia kuna vitu ulikuwa hujawahi kufanya ambavyo vinafanya mind iwe corrupted, vipo vingi sana ambavyo nakumbuka nlisema sitakaa nifanye lakini sasa nimeshavifanya. KUNA NADHARIA PANA SANA KWENYE KUJIDEFINE KUWA WEWE NI NANI

Asante sana, Nimeipenda sana hii comment, imenifumbua macho zaidi.
 
Kizzy, umenikumbusha filamu moja maarufu ya Jack Chan: 'Who am I'.
Baada ya Jack Chan kuanguka ktk ajali ya ndege, alipata brain concussion na kuokotwa na Wazulu kule SA na kupewa treatment kwa kunyweshwa machicha ya dawa za kienyezi. Alipopata nafuu.kidogo, kila siku alikuwa akijiuliza: 'WHO AM I?'. Nina wasi wasi na mleta uzi, isijekuwa ana mental disorder kama ilivyokuwa kwa Jack Chan!
Nashukuru kwa mawazo yako, lakini kama umesoma vyema utaona ni mada tofauti na unachozungumzia.
 
Iam who God Said Iam,
and i have what he said i have..
iam a new creation,
an overcomer
a bundle of succes and a partaker of a devine nature~Iam Elimring Moshi

Asante kwa mtazamo wako, upo sahihi katika reality yako. Labda nikuulize je umejua wapi? Umeambiwa? Je aliyekuambiwa aliambiwa na nani? Aliyekuambia ana tofauti gani na wewe? Aliyemwambia hawezi kukuambia na wewe? Je ni njia gani mtu aweze kujua ulichojua wewe kwa kupata ukweli na majibu moja kwa moja kwenye chanzo bila kupitia katika akili na ufahamu wa wengine?
 
Kizzy, umenikumbusha filamu moja maarufu ya Jack Chan: 'Who am I'.
Baada ya Jack Chan kuanguka ktk ajali ya ndege, alipata brain concussion na kuokotwa na Wazulu kule SA na kupewa treatment kwa kunyweshwa machicha ya dawa za kienyezi. Alipopata nafuu.kidogo, kila siku alikuwa akijiuliza: 'WHO AM I?'. Nina wasi wasi na mleta uzi, isijekuwa ana mental disorder kama ilivyokuwa kwa Jack Chan!

Yes Muvie naipata vizuri sana. Ukisoma uzi wa huyu jamaa vizuri kakunyima kila point ambayo labda mtu utaweza kupenyea wakati ukitaka kujibu swali alilouliza ''WEWE NI NANI?'' sasa kama option zote kakunyima utajibuje swali kama hilo.Anakuforce utumie akili nyingi maarifa kidogo!

Ni sawa na ukikutana na mmakonde kwenye 18 zake na ankwambia ''Ukichimama nchale
:fear:, ukikimbia nchale, ukitembea nchale, ukikaa nchale'' sasa wewe utafanyaje. . .Si utabaki umetoa mimacho tuu :shocked:
 
Back
Top Bottom