Umeshawahi kumla shemeji yako?

Dah...usijidanganye...hakuna hatua inayorukwa maishani....aidha utakuja kuvifanya uzeeni au utakosa uzoefu fulani wa uhalisia wa maisha.....[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ananichekesha ujue, mwanzo nilikasirika nilidhani ni mtu wenye akili timamu kumbe hazimtoshi bana[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

mi mwenyewe nilikasirika sana..kidogo nimfate PM nikamtandike makofi...sema moyo ulisita kutokana na issue ya corona

pole kwa msiga wa jirani yako Dr.makongoro mahanga
 
maisha yamekuwa magumu mpaka tunahimizana kula shemeji zetu
 
Ni ukweli kwamba mioyo ya Vijana saiv inawaka tamaa! Wanatembea wamedindisha kabisa, ukiona ameinama kwenye simu anacheki pon, kajifungia chumbani anacheki sijui movie kwenye laptop ngono, wadogo zetu wa kike nao kadhalika! Wanaume imedina kila wakat, wanawake kiharage kimetuna kila wakt!

Sasa hapo unategemea nn! Natamani tahadhari ya Corona ingehamishiwa kwenye porn!

Wew Kijana uliyemla Shemeji, usirudie. Unawez usipate furaha maisha yako yote kwa kuteswa na karma. Pole, ila endelea kujiheshimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika ujinga ila imebidi nicheke sana!
 
Shemeji yako ni malaya na hapo fala ni wewe siyo kaka yako. Tambua fika huyo shemeji yako ni chakula cha masela hapo mtaani.
 

Oya Nyani Ngabu njoo uchukue mtu wako
 
Shemelaa wangu ni mzuri, halafu ana nyama sasa. Nilipomaliza chuo nilikaa kwa bro wakati ninasaka kazi. Alinitega nikategua yote (kwa neema ya Mungu). Kiukweli ninamheshimu sana bro wangu hata sasa. Nisingeweza kumfanyia unyama huo. Kuna kipindi mpaka bro akitoka Shem anakaa uchi sebuleni, eti nikiingia anajifanya kama alijisahau.. aisee siyo kabisa. Baada ya kunisoma kwamba simwelewi kilichofuatia kila bro akirudi anapewa jalada la kesi, yaani kesi juu yangu haziishi kama diipipii anavyowakaba wapinzania kule kwenye ile nchi. Bro alikuwa hakubali mwanzoni, but kesi zilivyozidi akaanza kuamini. Nilifanikiwa kupata kazi nakuchomoka pale, but mpaka leo hatuivanagi kiviiile na Shemela, japo bro niko naye vyema sana

Nilichojifunza, ukiona mke au mumeo ameivana sana na ndugu yako,hata kama unamuamini vipi, wachunguze vizuri, huenda ukatuletea thread humu.
-Mkaskaz Damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…