Umeshawahi kumla shemeji yako?

Sioni kitu cha ajabu. Mashemeji wengi sana wanaliwa kwa kupenda wenyewe au kushawishika. Mnamshambulia mleta uzi huku ukweli mnaujua, mwanamke kama unaishi naye akiamua kukuingiza dhambini kama hujawa imara utaanguka tu.
Tatizo hapa sio wewe kutembea na shemeji yako ila wewe kusema bayana dhambi hii ambayo wengi wanaifanya na kuifanya siri kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Aidha hii ni moja katika ya zile hadithi za kitoto na fantasy zao wanazoleta hapa au kama ni kweli ilitokea wewe ni mtu wa ajabu sana.

Nasema wewe ni mtu wa ajabu sana kwa sababu ya kutompenda kaka yako na kumvunjia heshima kupita kiasi. Ingelikuwa imetokea mara moja tu angalau tungelisema kuwa mashetani yaliwashinda, lakini kuendelea kwa miezi mitatu huo ni ukatili wa hali ya juu. Tena hata ulipoondoka hukuondoka kwa sababu ulikuwa unahisi vibaya unayomfanyia kaka yako bali umeondoka kwa sababu ulihisi utakuja fumaniwa tu. Huo uni ushenzi wa hali ya juu.

Halafu unakuja kuleta mada hii hapa, kuonyesha kuwa you dont feel guilty at all, anfact you are so proud of yourself. I hope and pray kuwa kaka yako nae pia ni member hapa na asome na kujua uliyomfanyia. Inawezekana kuwa umekwenda chuo kikuu lakini hukuelimika hata kidogo maana umeweka clues tele hapa za kaka yako kujua kuwa ni wewe ndie uliekuwa ukimla mke wake.

clue ni kama zifuatazo
1. mwanzoi mwa mwaka 2013 ulikuwa unaishi na kaka yako
2. Kipindi hicho ulikuwa ndio umemaliza masomo na huna kazi,unatafuta kazi
3. Kaka yako alikuwa safarini tarehe 8/02/2013.
4 Kaka yako kipindi hicho alikuwa hana house girl.
5 Mkewe ni mtu wa kupenda films
6 hafla tu bila kupata kazi mwezi wa May (umesema mlifanya uchafu huu kwa miezi mitatu) uliamua kurudi nyumbani.

Now ladies and gentleman ni Kaka wangapi wanaweza kuangali point hizo 6 za haraka haraka na kutojua kuwa ni yeye aliyeendelewa kinyume na mdogo wake?

Kama mwanzoni mwanzoni mwa mwaka wa 2013 ulikuwa ukiishi na ndugu yako (alokuwa ndio kwanza kamaliza chuo na anatafuta kazi) pamoja na mke wako katika mji fulani na ulikuwa ukisafiri sana na kumuacha mkeo na mdogo wako nyumbani, lakini hafla katika mwezi wa May aliamua kuondoka na kurudi nyumbani basi jua sababu ya yeye kuondoka ni kwa sababu alikuwa akimla mkeo. Mkeo ni anapenda kuangalia films na kipindi cha mwaka 2013 ulikuwa huna house girl basi jua tu huna ndugu wa kweli.
 

Soma LEVITICUS 18 yote
 
Sasa ww unaenda nyumban kwa mwanaume mwenzako na kumlazimisha mke wake kufanya mapenzi halafu unasema wanawake wadhaifu??!!
Ww ulilazimsisha... Ila na ww jiandae labda usio maishani mwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia ww huwez kumlazimisha mwanamke kufanya nae ngono bila kumsoma ukienda kichwa kichwa akipiga kelele ANANIBAKA utafanya nn lazima kuna ishara girl azilushe kwako ujue km anahiraji penz lako sema tu mazingira yanamzuia kujionesha km anakupenda wapo wengi tu nikiwachek tu najua ata tukibak wawili hawez kuninyima

Sasa ww nenda kichwa kichwa ndo utajua wanawake MASHETANI
 



Ndomana majanga mengi hapa nchini..mara korona mara mashoga
 
Unapata wapi hujasiri wa kulala na shemeji yako. Labda kama akili zako ni nusu saa na mshale
 
In your dreams! Shule na vyuo vinafunguliwa lini jamani?
Mkuu hii sio ndeams is truly... Mimi namtafuna Mkwe wangu hadi sasa,,,na sio hyo TU..nilishawahi kutembea na RAFIKI wa girlfriend wangu na girlfriend wangu YUPO hapo hapo kitandani kalala,,Kwahyo MKUU wewe kama jambo hujawahi kulifanya,,au kuliona,,au kusikia,,usibishe,,hii DUNIANI INA mambo mengi sn,,, tena ya Kushangaza na kusikitisha.,,KAMA MTU ANAWEZA KUTEMBEA NA BINTI YAKE WA KUMZAA.,,MWENYEWE NA UNAAMINI,,,UTASHINDWAJE KUAMINI MTU KUTEMBEA NA MAMA NA MTOTO?usibishe usichokijuwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali muombe msamaha kaka yako ili ubaki na Amani moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…