Mimi naweza nikakubaliana na wewe kwa kisa hiki.
2010 pale mtaani kwetu kuna mzee mmoja umri kama 45+ alinunua kiwanja akajenga mjengo wa wastani tu...yule dingi alikua amemuacha mkewe wa kwanza ambaye alikua amezaa nae watoto wawili wote wa kiume na mtoto wa kwanza wakati mimimi niko form 2 yeye alikua kidato cha nne huyu nitamwita KONDO.
Yule dingi baada ya kumuacha mama KONDO akaoa mwanamke mwingine wa kirangi umri kama 30+ alikua mzuri kinyama yule mama mweupe halafu sura nzuri na zigo la haja na walizaa mtoto mmoja na baba ake KONDO huko walipotoka kabla ya kuhamia pale,mtoto wa yule mama alikua na miaka 5 na alikua anasoma vidudu.Sasa tukawa tumezoeana sana na KONDO maana alikua mtu poa sana tunaenda kwao kucheki muvi na kutufundisha.
Siku moja nipo na Jamaa mwingine tukaenda kwa KONDO ile ghafla maana tulikua tunajua mchana ule bi mkubwa wake hayupo cha ajabu kufika tukamkuta anaangalia X na mama ake wa kufikia wakiwa wawili tu japo walikua wamekaa viti tofauti..aisee ili tushangaza na cha ajabu yule mama alikua mkavu akatukaribisha fresh na wala hakutoa ila jamaa ndo akawa hana amani.Tulizuga tukasepa maana hatukua huru tukawa na maswali mengi kichwani mwetu.
Jioni tulipokutana na KONDO tena ikabidi tumuulize inakuaje mbona kama hatuelewi mchezo jamaa akawa anasema hata yeye anashangaa maana alikua anacheki muvi tu kawaida mara bi mkubwa akaja akatoa ile CD aweke Muvi yake kumbe ni X hivyo hakua na la kufanya yakaishia hapo.
Baada ya muda tukaanza kumuona yule mama anakua mkali sana kuleta mazoea n kwake,hapendi kuona tukienda mpaka siku ya mwisho nakumbuka kwenda kwa KONDO tulikuta nyumba iko kimya sana kufika sebuleni TV inawaka ila hakuna mtu ila tulikua tunasikia kama watu wakiwa kuna ishu wanafanya chooni(choo cha umma) basi bhana punde Akatoka yule mama akatukuta tuko pale sebuleni tumesimama ila hatujakaa alishtuka akahoji kwanini hatujapiga hodi mara kidogo KONDO nae anakuja upande ule ule wa choo lakini usoni unaona kuna jambo lilikua linaendelea.Ile ndo ilikua mwanzo na mwisho kukanyaga pale maana yule mama alitusema sana na baada ya pale rafiki yetu akapunguza kabisa mazoea na sisi mpaka alipomaliza kidato cha 4 na kusepa kwa mama yake.
Yule mama mtaani pale alitingisha sana kwa kugawa papa baada ya pale mara ya mwisho kumuona baada ya kumletea polisi mumewe baada ya kupigwa na mumewe kisa kumfuma akidinywa na binamu yake.Stori za chini ya kapeti tuliambiwa yule mama yupo kwenye Grid pia.
MPAKA SASA HATUNA UHAKIKA KAMA MWAMBA ALIMLA YULE MAMA AU LA JAPO VIASHIRIA VILIONYESHA JAMAA ALISHAVUNJA AMRI YA SITA NA MKE WA BABA YAKE MZAZI NA KIUKWELI KWA JINSI ALIVYO YULE MAMA ILIKUA NGUMU SANA JAMAA KUCHOMOKA NA UKIZINGATIA NDO ALIKUA YUPO KWENYE BALEHE.
HAYA MAMBO YAPO KAMA SIO KWAKO BASI KWA MWINGINE