Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Kumbe ulilala na mke wangu. Nisikuone hapa nyumbani na huyu mtoto wako uje umchukue haraka sana
 
Ndo unaposikia mzimu popobawa sijui ndo hawa wakishakufa wanaanza kusumbua watu
Hii mizimu myengine ni mizimue tu... Halafu ndo unatakiwa uje uiombe ukipata matatizo..😂
Hii sindo ile inayoagizaga kuku sijui mweupe na balimi pembeni tena inaongezea na kapilipili kwa mbali bila kusahau chumvi..
Sasa ukiacha kutekeleza utajuta na utaelewa mzimu ni nini..😂
 
Binadamu tuna madhambi makubwa msinihukumu!!!!!

Katika harakati za ujana kuna sehemu binadamu tunakosea, kutenda kosa sio dhambi ila kurudia kosa ndo dhambi.

Mimi najutia kulala na mke wa kaka yangu. Kaka yangu ananizidi miaka 30, ana wanawake watatu, mke wa mwisho ndo nililala nae, wote tulikuwa under 20 kipindi hicho. Siku hio kaka yangu alisafiri, tulikuwa tunaangalia movie na shemeji hadi saa nane usiku,karibia wiki nzima, tukaanzisha mazoea ambayo yalipelekea kushikana, nikashitukia shetani amenipitia nikamla. Sikurudia kosa langu, siku ya pili niliamua kuhama kabisa, ni miaka 10 sasa imepita, ila bado najutia kosa langu, ujana maji ya moto.
Watu wanaojutia makosa yao wanaonaga hata aibu kuhadithia pasipo ulazima.
 
Mungu nisamee nilimkula shemeji yangu pamoja na mdogo wake
 
Na unaweza kuta mwanamke ndio alianza, subir na wakwako atatoa tu mzigo kwa mtu wako wakaribu hao kutoa mbwa wanaona ni kitu cha kawaida sana sema sisi wanaume tunachukulia serious sana.
 
Binadamu tuna madhambi makubwa msinihukumu!!!!!

Katika harakati za ujana kuna sehemu binadamu tunakosea, kutenda kosa sio dhambi ila kurudia kosa ndo dhambi.

Mimi najutia kulala na mke wa kaka yangu. Kaka yangu ananizidi miaka 30, ana wanawake watatu, mke wa mwisho ndo nililala nae, wote tulikuwa under 20 kipindi hicho. Siku hio kaka yangu alisafiri, tulikuwa tunaangalia movie na shemeji hadi saa nane usiku,karibia wiki nzima, tukaanzisha mazoea ambayo yalipelekea kushikana, nikashitukia shetani amenipitia nikamla. Sikurudia kosa langu, siku ya pili niliamua kuhama kabisa, ni miaka 10 sasa imepita, ila bado najutia kosa langu, ujana maji ya moto.
Umerudia tena kuandika kipindi flani ulishawahi andika mada ya hivi !! nikwamba Umesahau ama unateseka na Dhambi ya Uzinzi inayokutafuna ndani yako? Nenda ukatubu ubaki na Amani ya moyo.
 
Eeeeh Mungu wa mbinguni uturehemu,

Watu hawa wamekiri kwa midomo yao na hawajutii dhambi zao za uzinzi. Wengine wameona ni haki zao kabisa za msingi kwa uzinifu waliofanya. Naomba msamaha kwa niaba yao, wasamehe 7x70. Ili wajue wanayofanya si sawa, wakurudie wewe.

Amen
 
Back
Top Bottom