Kitangiri15
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 348
- 734
wakati nimemaliza form six miaka Mingi nyuma sasa,kuna binamu yangu mama alimtafutia mke ambaye Alikuwa ni mtumishi staff moja nae. baada ya jamaa kuoa alitia mimba na kutimkia masomoni (note:wanaume wengi wanadhani kuwatia mimba wakeze ndio njia bora ya ulinzi hasa wakiwa mbali) kwa sabb nilikuwa nasubr kwenda Chuo na shemeji Alikuwa anaishi si mbali sana na nyumbani ilibidi nichukue jukumu la kuwa mme kwa muda kwa kumtake care kwa sabb mimba ilikuwa inasumbua sana kila baada ya cku kadhaa anaumwa na kulazwa.so nilikuwa nashinda pale mpk ucku sa nne ndo naenda kulala home.siku moja wakati naondoka akaanza kulalamika kuwa mie mme gani ambaye namwacha mke ucku wote peke yake ilihali nilikua anaumwa.je akiigua ghafla nani atampeleka hospital? nikaona nibaki kwa sabb Alikuwa na logic.kwa kuwa nyumba ilikuwa na vyumba viwili na sebule,nilijongea kulala ila ucku nikawa nasikia anaweweseka(nyumba haina sling board) nikagonga mlango then nikazama ndani kuuliza shida gani akasema anahisi maumivu makali ya mgongo.nikaripoka je nikikumasag yatapoa??akasema ndio. so sikufikiria mara 2 madhara yake,nilichukua mafuta ya olive oil,akalala ubavu then nikaanza kumfanyia msg taratibu lkn mwisho wa cku hisia zilihama njia nikaishia mkut**, ukawa ndo mchezo wetu mpk wiki moja kabla ya kujifingua.(asikwambie mtu mwanamke mjamzito ana hi joto Kali na ni mtamu haswaa) niliondoka kwenda Chuo na nikaja kumwona after five years nilipowatembelea na still bro Alikuwa atanifanya busy na kazi kuliko walau kutenga muda wa familia japo Lisaa limoja tu. ucku Alikuja tukakumbushia na now amekuwa Mtu mzima na amenitunuku mdogo wake nimwoe and we are happily married kwa miaka kadhaa. let me make it clear SIJAWAHI KUJUTIA KUMLA,I WAS JUST PLAYING MY PART.KUTOA MSAADA NA AFTER RAW .......