Umeshawahi kumtokea demu halafu ukaogopa kumwambia shida yako

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
311
Reaction score
708
Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza

Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake.

Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza form 4 akawa anasubiria matokeo kwahyo akawa amekuja kukaa kwa mjomba. Sasa mi nikatokea kumwelewa ila sasa nikawa mwoga kumtongoza ila nikawa natafûta mbinu za kumpata

Jumamosi moja asubuhi mama akawa amenituma hapo dukani kununua chakula cha kuku hivyo nikaona ni fursa yangu ya kwenda kukatupia nyavu maana kwakweli nilikuwa sipati usingizi kwa ajili ya yule mtoto. Basi bana baada ya maza kunipa hela nikaenda kwanza sehemu nikawa nafanya mazoezi ya namna ya kuongea nae na kumwambia ukweli jinsi ninavyojiskia kwake na kumwomba awe demu wangu , baada ya kujirizisha na mazoezi yangu ya kuongea na kujiweka sawa kidume nikanyookea dukani kwenda kumsaundisha mtoto

Aisee sitasahau baada ya kufika dukani na kumsalimia tu moyo ulienda mbio nilishikwa na uoga na kigugumizi, nikajikuta nimeshindwa kumwambia ikabidi tu nijichekeshe na kununua chakula cha kuku nikarudi zangu home.
Dah roho iliniuma njiani nikawa najilaumu na kujutia kile kitendo cha kuogopa kumwambia yule mtoto hisia zangu.

Baada ya jaribio langu kufeli nikatumia plan b nilipofika home nikaandika barua halafu nikamtuma dogo ampelekee maana sikuwa na simu kipindi hicho nasoma, baada ya kama wiki moja hv kupita akajibu ile barua yangu halafu akampa dogo aniletee, dah kumbe mtoto hakuwa hata na shida wala nini ilikuwa tu ni udomo zege wangu na baada ya hapo akawa kitu yangu sema baada ya matokeo alikaa kwa mjomba wake halafu akarudi kwao na tangia hapo hatujawahi kuonana tena ingawa kuna mda bado namkumbuka

Paulina popote ulipo nakusalimia
 
Ilikuwa mwaka gani
 
Hawa ambao ukiwaomba namba wanasubiri meseji yako kwa hamu ndo niogope kuwatongoza?
Kuna mademu wengine ukichukua namba yake Wala hata hasubiri umtongoze,yeye mwenyewe huwa anajiongeza kwamba wewe ni jamaa wake... kama wewe ni slow learner baadae unaweza ukaanza kushangaa uko kwenye mahusiano ambayo hujui yalianzajeanzaje😂. mademu wa hivi huwa wananifurahisha sana waendelee na tabia hiyo hiyo ni Raha sana.yani akishakupa namba yake yeye mwenyewe anajiongeza sio mpaka mtongozane😂
 
Yeah mi mwenyewe nikiomba namba kabla sijatongoza huwa wananianza wenyewe kwa kuniambia msalimie wifi mwisho wa siku napewa tunda kimasihara
 
Kuna pisi moja nilichukua namba nirushe ndoano kwa lengo la future wife, kama kawaida nikasevu namba naview status, ya status yakanipa nguvu sana muda wote ni post za kidini na Mungu tu, nikasema YES huyu atanifaa sana. Nikiwa nawaza kumfungukia kuna siku tukakutana ofisi fulani jina kapuni na tuliingia wote kwa pamoja, yule binti sio mstaarabu hata kidogo tulibiwa tufuate utaratibu alitokwa na maneno plus kutoa matusi nikabaki nashangaa na nia yangu ya kumfungukia ikafia pale jumla.
 
Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza

Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake.

Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza form 4 akawa anasubiria matokeo kwahyo akawa amekuja kukaa kwa mjomba. Sasa mi nikatokea kumwelewa ila sasa nikawa mwoga kumtongoza ila nikawa natafûta mbinu za kumpata

Jumamosi moja asubuhi mama akawa amenituma hapo dukani kununua chakula cha kuku hivyo nikaona ni fursa yangu ya kwenda kukatupia nyavu maana kwakweli nilikuwa sipati usingizi kwa ajili ya yule mtoto. Basi bana baada ya maza kunipa hela nikaenda kwanza sehemu nikawa nafanya mazoezi ya namna ya kuongea nae na kumwambia ukweli jinsi ninavyojiskia kwake na kumwomba awe demu wangu , baada ya kujirizisha na mazoezi yangu ya kuongea na kujiweka sawa kidume nikanyookea dukani kwenda kumsaundisha mtoto

Aisee sitasahau baada ya kufika dukani na kumsalimia tu moyo ulienda mbio nilishikwa na uoga na kigugumizi, nikajikuta nimeshindwa kumwambia ikabidi tu nijichekeshe na kununua chakula cha kuku nikarudi zangu home.
Dah roho iliniuma njiani nikawa najilaumu na kujutia kile kitendo cha kuogopa kumwambia yule mtoto hisia zangu.

Baada ya jaribio langu kufeli nikatumia plan b nilipofika home nikaandika barua halafu nikamtuma dogo ampelekee maana sikuwa na simu kipindi hicho nasoma, baada ya kama wiki moja hv kupita akajibu ile barua yangu halafu akampa dogo aniletee, dah kumbe mtoto hakuwa hata na shida wala nini ilikuwa tu ni udomo zege wangu na baada ya hapo akawa kitu yangu sema baada ya matokeo alikaa kwa mjomba wake halafu akarudi kwao na tangia hapo hatujawahi kuonana tena ingawa kuna mda bado namkumbuka

Paulina popote ulipo nakusalimia
hapana
 
Back
Top Bottom