Umeshawahi kumtokea demu halafu ukaogopa kumwambia shida yako

Kuna mademu wengine ukichukua namba yake Wala hata hasubiri umtongoze,yeye mwenyewe huwa anajiongeza kwamba wewe ni jamaa wake... kama wewe ni slow learner baadae unaweza ukaanza kushangaa uko kwenye mahusiano ambayo hujui yalianzajeanzaje😂. mademu wa hivi huwa wananifurahisha sana waendelee na tabia hiyo hiyo ni Raha sana.yani akishakupa namba yake yeye mwenyewe anajiongeza sio mpaka mtongozane😂
Daah Kuna mmoja ilikuwa hivo
Baada ya kuomba namba siku ya Tatu naona meseji
"Baby uko kimya sana"
Nikawa nacheka nishakuwa na baby tena
 
Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza

Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake.

Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza form 4 akawa anasubiria matokeo kwahyo akawa amekuja kukaa kwa mjomba. Sasa mi nikatokea kumwelewa ila sasa nikawa mwoga kumtongoza ila nikawa natafûta mbinu za kumpata

Jumamosi moja asubuhi mama akawa amenituma hapo dukani kununua chakula cha kuku hivyo nikaona ni fursa yangu ya kwenda kukatupia nyavu maana kwakweli nilikuwa sipati usingizi kwa ajili ya yule mtoto. Basi bana baada ya maza kunipa hela nikaenda kwanza sehemu nikawa nafanya mazoezi ya namna ya kuongea nae na kumwambia ukweli jinsi ninavyojiskia kwake na kumwomba awe demu wangu , baada ya kujirizisha na mazoezi yangu ya kuongea na kujiweka sawa kidume nikanyookea dukani kwenda kumsaundisha mtoto

Aisee sitasahau baada ya kufika dukani na kumsalimia tu moyo ulienda mbio nilishikwa na uoga na kigugumizi, nikajikuta nimeshindwa kumwambia ikabidi tu nijichekeshe na kununua chakula cha kuku nikarudi zangu home.
Dah roho iliniuma njiani nikawa najilaumu na kujutia kile kitendo cha kuogopa kumwambia yule mtoto hisia zangu.

Baada ya jaribio langu kufeli nikatumia plan b nilipofika home nikaandika barua halafu nikamtuma dogo ampelekee maana sikuwa na simu kipindi hicho nasoma, baada ya kama wiki moja hv kupita akajibu ile barua yangu halafu akampa dogo aniletee, dah kumbe mtoto hakuwa hata na shida wala nini ilikuwa tu ni udomo zege wangu na baada ya hapo akawa kitu yangu sema baada ya matokeo alikaa kwa mjomba wake halafu akarudi kwao na tangia hapo hatujawahi kuonana tena ingawa kuna mda bado namkumbuka

Paulina popote ulipo nakusalimia
Usitick Oktober
 
Basi mwambie angalau kwa mafumbo "mzee kichwa wazi anauliza swali na anataka jibu" mpe jibu.
 
Daah Kuna mmoja ilikuwa hivo
Baada ya kuomba namba siku ya Tatu naona meseji
"Baby uko kimya sana"
Nikawa nacheka nishakuwa na baby tena
Wahivyo wapo mkuu kuna mmoja aliwahi kunipa namba kwenye kuchati akawa ananiita my na nilikuwa hata sijamtongoza
 
Dah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza

Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake.

Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza form 4 akawa anasubiria matokeo kwahyo akawa amekuja kukaa kwa mjomba. Sasa mi nikatokea kumwelewa ila sasa nikawa mwoga kumtongoza ila nikawa natafûta mbinu za kumpata

Jumamosi moja asubuhi mama akawa amenituma hapo dukani kununua chakula cha kuku hivyo nikaona ni fursa yangu ya kwenda kukatupia nyavu maana kwakweli nilikuwa sipati usingizi kwa ajili ya yule mtoto. Basi bana baada ya maza kunipa hela nikaenda kwanza sehemu nikawa nafanya mazoezi ya namna ya kuongea nae na kumwambia ukweli jinsi ninavyojiskia kwake na kumwomba awe demu wangu , baada ya kujirizisha na mazoezi yangu ya kuongea na kujiweka sawa kidume nikanyookea dukani kwenda kumsaundisha mtoto

Aisee sitasahau baada ya kufika dukani na kumsalimia tu moyo ulienda mbio nilishikwa na uoga na kigugumizi, nikajikuta nimeshindwa kumwambia ikabidi tu nijichekeshe na kununua chakula cha kuku nikarudi zangu home.
Dah roho iliniuma njiani nikawa najilaumu na kujutia kile kitendo cha kuogopa kumwambia yule mtoto hisia zangu.

Baada ya jaribio langu kufeli nikatumia plan b nilipofika home nikaandika barua halafu nikamtuma dogo ampelekee maana sikuwa na simu kipindi hicho nasoma, baada ya kama wiki moja hv kupita akajibu ile barua yangu halafu akampa dogo aniletee, dah kumbe mtoto hakuwa hata na shida wala nini ilikuwa tu ni udomo zege wangu na baada ya hapo akawa kitu yangu sema baada ya matokeo alikaa kwa mjomba wake halafu akarudi kwao na tangia hapo hatujawahi kuonana tena ingawa kuna mda bado namkumbuka

Paulina popote ulipo nakusalimia
Some how some way we gotta make it outta the hood.
 
Back
Top Bottom