Mbinu sahihi kwa kizazi hiki ni hela mkuu wenyewe wanasema haiuzwi na haitolewi bureMbona mnasema tu jinsi mlivyokosea?
Mseme na mbinu sahihi zipoje sisi washamba tujue.
Na hapo ni kwenye simu je ingekuwa ana kwa anaHuku imeshanitokea , kwenye hizi hizi I'd za kikeš š š nimemtokea nikakumbuka cv zangu za cha pombe na kataa ndoa , mara chama cha majobless , nikaingiza upepo bwashe
Hahahaha noma sana , niliishia kumwambia tu bwana yesu asifiwe ndugu mtumishNa hapo ni kwenye simu je ingekuwa ana kwa ana
Ilikuwa mwaka ganiDah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza
Nakumbuka miaka ya nyuma kipindi nikiwa olevel kuna binti alikuwa anauza duka la vyakula vya mifugo jirani na nyumbani kwetu, lilikuwa duka la uncle wake.
Kalikuwa kabinti kazuri ka machame na kipindi hicho yeye alikuwa amemaliza form 4 akawa anasubiria matokeo kwahyo akawa amekuja kukaa kwa mjomba. Sasa mi nikatokea kumwelewa ila sasa nikawa mwoga kumtongoza ila nikawa natafƻta mbinu za kumpata
Jumamosi moja asubuhi mama akawa amenituma hapo dukani kununua chakula cha kuku hivyo nikaona ni fursa yangu ya kwenda kukatupia nyavu maana kwakweli nilikuwa sipati usingizi kwa ajili ya yule mtoto. Basi bana baada ya maza kunipa hela nikaenda kwanza sehemu nikawa nafanya mazoezi ya namna ya kuongea nae na kumwambia ukweli jinsi ninavyojiskia kwake na kumwomba awe demu wangu , baada ya kujirizisha na mazoezi yangu ya kuongea na kujiweka sawa kidume nikanyookea dukani kwenda kumsaundisha mtoto
Aisee sitasahau baada ya kufika dukani na kumsalimia tu moyo ulienda mbio nilishikwa na uoga na kigugumizi, nikajikuta nimeshindwa kumwambia ikabidi tu nijichekeshe na kununua chakula cha kuku nikarudi zangu home.
Dah roho iliniuma njiani nikawa najilaumu na kujutia kile kitendo cha kuogopa kumwambia yule mtoto hisia zangu.
Baada ya jaribio langu kufeli nikatumia plan b nilipofika home nikaandika barua halafu nikamtuma dogo ampelekee maana sikuwa na simu kipindi hicho nasoma, baada ya kama wiki moja hv kupita akajibu ile barua yangu halafu akampa dogo aniletee, dah kumbe mtoto hakuwa hata na shida wala nini ilikuwa tu ni udomo zege wangu na baada ya hapo akawa kitu yangu sema baada ya matokeo alikaa kwa mjomba wake halafu akarudi kwao na tangia hapo hatujawahi kuonana tena ingawa kuna mda bado namkumbuka
Paulina popote ulipo nakusalimia
2010 mkuu nikiwa form 2Ilikuwa mwaka gani
Ila kaka siku hizi naona kama kutongozana ni ushamba , mambo yanakwenda kimasihara zaid bwashee2010 mkuu nikiwa form 2
Ni kweli bwashee sahv ukimtongoza mwanamke unashiĢdwa kuelewa kama kakubali au kakataaIla kaka siku hizi naona kama kutongozana ni ushamba , mambo yanakwenda kimasihara zaid bwashee
Hatukuwa na simu mkuuHawa ambao ukiwaomba namba wanasubiri meseji yako kwa hamu ndo niogope kuwatongoza?
Kuna mademu wengine ukichukua namba yake Wala hata hasubiri umtongoze,yeye mwenyewe huwa anajiongeza kwamba wewe ni jamaa wake... kama wewe ni slow learner baadae unaweza ukaanza kushangaa uko kwenye mahusiano ambayo hujui yalianzajeanzaješ. mademu wa hivi huwa wananifurahisha sana waendelee na tabia hiyo hiyo ni Raha sana.yani akishakupa namba yake yeye mwenyewe anajiongeza sio mpaka mtongozanešHawa ambao ukiwaomba namba wanasubiri meseji yako kwa hamu ndo niogope kuwatongoza?
Yeah mi mwenyewe nikiomba namba kabla sijatongoza huwa wananianza wenyewe kwa kuniambia msalimie wifi mwisho wa siku napewa tunda kimasiharaKuna mademu wengine ukichukua namba yake Wala hata hasubiri umtongoze,yeye mwenyewe huwa anajiongeza kwamba wewe ni jamaa wake... kama wewe ni slow learner baadae unaweza ukaanza kushangaa uko kwenye mahusiano ambayo hujui yalianzajeanzaješ. mademu wa hivi huwa wananifurahisha sana waendelee na tabia hiyo hiyo ni Raha sana.yani akishakupa namba yake yeye mwenyewe anajiongeza sio mpaka mtongozaneš
Kwa mbinde kakaVp ulikula lakini?
hapanaDah kuna mda mathematics inaweza ikawa rahisi kuliko kutongoza