Umeshawahi kumtokea demu halafu ukaogopa kumwambia shida yako

Daah Kuna mmoja ilikuwa hivo
Baada ya kuomba namba siku ya Tatu naona meseji
"Baby uko kimya sana"
Nikawa nacheka nishakuwa na baby tena
 
Usitick Oktober
 
Basi mwambie angalau kwa mafumbo "mzee kichwa wazi anauliza swali na anataka jibu" mpe jibu.
 
Daah Kuna mmoja ilikuwa hivo
Baada ya kuomba namba siku ya Tatu naona meseji
"Baby uko kimya sana"
Nikawa nacheka nishakuwa na baby tena
Wahivyo wapo mkuu kuna mmoja aliwahi kunipa namba kwenye kuchati akawa ananiita my na nilikuwa hata sijamtongoza
 
Some how some way we gotta make it outta the hood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…