Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Yes.... Tena hizi za kichina zinauzwa 20000.... Mmhh.... Mwenyezi Mungu atusaidie kwa kweli....Nawatisha kivipi Mkuu? Tuseme ukweli... unaenda kununu sliming tea lakini ingredients hazijaandikwa, hapo unajua unaingiza nini mwilini?