Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

Nawatisha kivipi Mkuu? Tuseme ukweli... unaenda kununu sliming tea lakini ingredients hazijaandikwa, hapo unajua unaingiza nini mwilini?
Yes.... Tena hizi za kichina zinauzwa 20000.... Mmhh.... Mwenyezi Mungu atusaidie kwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…