Naona test zao ni ukae utulie wanatest kila kitu uono,usikivu cognitive n.kMi nilibahatikaga kufanya aptitude test ya Alistair ila sijufaulu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Aisee safi sana. Mfano wana ruhusu mtafuta kazi ajianike kwa waajiri then utaona viewers makampuni na taasisi zinazoendana na wewe wanasogozewa tangazo lako.Kuna jamaa yangu kapata kupitia apps hii
niliaply kazi kwa mtu aliweka mule , nilipata kabisa , sema sikudumu kazini ,Ilikuwaje momy! Nini kilifanya isiwe riziki wakati uliomba.
Oh poleniliaply kazi kwa mtu aliweka mule , nilipata kabisa , sema sikudumu kazini ,
Nilitafutwa na mwajiri nikaudhuria interview, kila kitu kilikuwa sawa ingawa mpka leo hajawai Namibia chochote nmejaribu kumcheki WhatsApp anabluetick tuHabari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.
Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.
Watu wana jifadavua elimu zao kwa uwazi kwa lengo la kupata au kutafuta kazi.
So naomba kufahamu kama kuna shahidi wa moja kwa moja ambae amefanikiwa either kwa kutuma maombi au kwa kufuatwa na kampuni kutokana na kuona ana sifa wanazotaka.
Ahsante.
Nshapata kazi nyingi kupitia linkedin na nawafahamu watu wengi waliopata kazi kupitia linkedin tena kwa kufuatwa.Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.
Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.
Watu wana jifadavua elimu zao kwa uwazi kwa lengo la kupata au kutafuta kazi.
So naomba kufahamu kama kuna shahidi wa moja kwa moja ambae amefanikiwa either kwa kutuma maombi au kwa kufuatwa na kampuni kutokana na kuona ana sifa wanazotaka.
Ahsante.
Una uhakika mambo yalienda sawa mkuu. Maana hawa jamaa mnamaliza interview ana cheko kama lote kumbe ana majibu hajakuelewa.Nilitafutwa na mwajiri nikaudhuria interview, kila kitu kilikuwa sawa ingawa mpka leo hajawai Namibia chochote nmejaribu kumcheki WhatsApp anabluetick tu
Nilitafutwa na mwajiri nikaudhuria interview, kila kitu kilikuwa sawa ingawa mpka leo hajawai Namibia chochote nmejaribu kumcheki WhatsApp anabluetick tu