Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

Habari wakuu, nauliza kama kuna mtu yeyote ambae amewahi kutumia platform ya Linkedin kupata kazi.

Nauliza kwa sababu ni app ambayo ndiyo hasa inabeba jukumu la kutangaza na kutafutia kazi.

Watu wana jifadavua elimu zao kwa uwazi kwa lengo la kupata au kutafuta kazi.

So naomba kufahamu kama kuna shahidi wa moja kwa moja ambae amefanikiwa either kwa kutuma maombi au kwa kufuatwa na kampuni kutokana na kuona ana sifa wanazotaka.

Ahsante.
Mm nilifatwq inbox na Manager akanipa mawasiliano ya Hr wake nikafanyiwa interview through the phone..Cha ajabu hadi leo sijaitwa😔
 
Labda waliopo LinkedIn tupeane majina tutafutane kule tuwe na big network

Kiukweli kule unaweza ukafuta app kama ndio unaanza na ni graduate maan huma experience hvyo kila kazi ww unahisi si yako..

Mm naona tunafeli kitu kimoja
Tunakosa premium linkedin app
 
Nilitafutwa na client kazi ya transcription (Google Loft tool) lugha Chichewa na Kilingala.Ilikua ni kazi ya pesa ndefu ila Wamalawi Waka iangusha online gig kwao wanaona ni utapeli.Nikasubcontract kazi Kwa Mkenya at least nikaingiza vidola kadhaa.Client bado nipo naye na kuna kazi za translation nazipata.Kikubwa tengeneza profile nzuri tu.Adios
 
Binafsi najiuliza why LinkedIn nilichelewa kuifuatilia na kuwa nayo seriously,binafsi labda nilikuwa na kazi sehemu,kiufupi ni nzuri,na kampuni ikiwa interested na profile yako basi wanakufuata,kingine inasaidia kupata job alert kwa sehemu ulizo follow, mkuu ningependa UniDM namba yako tufahamiane muanzisha mada,
 
Swaumu ni kali sana ..lakin kwa hili nakuomban sana niruhusu DM nifike unipe muongo wa linkedin ..nipo huko lakin naona kama sipawez ila kwa namna mnavotoa ushuhuda naona kama kina kitu bado sijakifaham..
Mimi ni Fresh Graduate
 
Back
Top Bottom