Ni app nzuri sana hakikusha profile Yako Iko vyema.
Mimi Huwa nafanya majaribio hata kama kazi siitaku pia jitahidi kuwa na connection kubwa uwezavyo.
Tofauti na kutuma maombi huwa nafuatwa inbox na recruiters kibao. Kwa February pekee nilifuatwa na kampuni 4 inbox na zote nilifanya interview.
Mwezi huu pia nilituma application 2 na zote zikakubalika wakaniita interview nikawaambia niko nje ya nchi labda tufanye phone interview; Moja nilifanya na kazi nikawa nimepewa na walikuwa tayari nifanyie huku nilipo mpaka nitakapo Rudi ; nyingine wanahangaika kufanya appointment na GM wao ili tufanye hiyo interview Huku niliko.
Kwa ufupi ubora wa profile Yako pamoja na connection uliyonayo utakurahisishia kazi.
Jitahidini kujenga mazoea yakufanya interview hata huhitaji kazi hii itakijengea experience moja kubwa sans.
Niliwahi kwenda kwenye interview ya kuitwa bila kuomba kazi nikakutana na mhindi empty kichwani alafu ana nyodo na maswali yake ya google mbona alikoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchana na nikakataa hiyo kazi kitaalamu
Naweka na viushahidi msije kusema ni mbwembwe za JF
View attachment 2563565View attachment 2563566View attachment 2563568View attachment 2563569