Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

Sio lazima uwe Premium member kufanya maombi ya kazi Linkedin
wewe ukiona kazi, jaribu kutafuta tovuti ya hiyo kampuni ili ukaoombee kazi hukohuko kwenye tovuti yao
 
Labda profile yako hauikuzi mkuu.
Mm nipo Tangu 2015 ,naona kitu kimenishinda n kuingia kule Premium ,sjui had uwe Premium ndio unapata kazi ,nkaachana na hyo akaunti yangu yenye qualifications za Geologist,nikafungua ya Udereva ,ila still hola hakuna msaada.
 
Hiyo ya ku dm wahusika mm nshafanya had kwa mawaziri,sospeter muhongo,Angel kairuki na wengine waliokuwa wizara ya nishati na madini,sikuwahi jibiwa hata [emoji1787]
Mimi pia nishawahi DM watu kadhaa nilioamini wanaweza kunipa connection, wakaishia kunijibu kuwa nafasi ikipatikana kwenye cycle yao wataniunganisha.

Mmojawao aliniunga kwenye group lake la WhatsApp ambalo halijawahi kutoa msaada.

Wengine tangu wanijibu kwa mara ya kwanza hawajawahi kunipa mrejesho tena.

Pia niliwahi ku DM CEO mmoja wa shirika la Umma kule Twitter, huyu hakuwahi kunijibu DM yangu, baadae alikuja kutumbuliwa na Mwendazake hadi akafikishwa kortini.

Hustle huwa inatufanya kufanya maamuzi ambayo baadae ukija kuyafikiria hadi unajishangaa kabisa
 
LinkedIn labda ilikuwa zamani lkn si sasahiv... Sasahiv ni upupu tu hakuna cha maana.. Kuna high profiles tu lkn hazitakusaidia chochote
 
Hongera sana, binafsi sijawahi kuwaza kutafuta kazi kupitia linkedin wala sina nayo muda sana.
 
LinkedIn labda ilikuwa zamani lkn si sasahiv... Sasahiv ni upupu tu hakuna cha maana.. Kuna high profiles tu lkn hazitakusaidia chochote
Mbona Mimi juzi nimeipata ofa nyingime nikafanya interview nikatuniwa na ma fomu nijaze ila baada ya kufanya uchunguzi binafsi wadau wakanishauri nisiende japo mshiko wake ulikuwa mtamu ikabidi nipotezee
 
Mkuu una bahati sana... LinkedIn kwa sasa ni ubahatishe sana labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…