willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Mimi bado niko kwenye ajira kutoka linkedin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nipo Tangu 2015 ,naona kitu kimenishinda n kuingia kule Premium ,sjui had uwe Premium ndio unapata kazi ,nkaachana na hyo akaunti yangu yenye qualifications za Geologist,nikafungua ya Udereva ,ila still hola hakuna msaada.Labda profile yako hauikuzi mkuu.
Ulipata ukiwa na akaunt ya kawaida au premiumMimi bado niko kwenye ajira kutoka linkedin
Nilipataga kazi moja sema haikuwa riziki .
Mm pia nahisi hvyo,Nina muda sana mule ,ila Sifa zangu haziniuzi kwa makampuniHela yako tu
Hiyo ya ku dm wahusika mm nshafanya had kwa mawaziri,sospeter muhongo,Angel kairuki na wengine waliokuwa wizara ya nishati na madini,sikuwahi jibiwa hata 🤣Kutoendesha account zao husika inaweza kuwa kweli.
Mimi pia nishawahi DM watu kadhaa nilioamini wanaweza kunipa connection, wakaishia kunijibu kuwa nafasi ikipatikana kwenye cycle yao wataniunganisha.Hiyo ya ku dm wahusika mm nshafanya had kwa mawaziri,sospeter muhongo,Angel kairuki na wengine waliokuwa wizara ya nishati na madini,sikuwahi jibiwa hata [emoji1787]
Hongera sana, binafsi sijawahi kuwaza kutafuta kazi kupitia linkedin wala sina nayo muda sana.Ni app nzuri sana hakikusha profile Yako Iko vyema.
Mimi Huwa nafanya majaribio hata kama kazi siitaku pia jitahidi kuwa na connection kubwa uwezavyo.
Tofauti na kutuma maombi huwa nafuatwa inbox na recruiters kibao. Kwa February pekee nilifuatwa na kampuni 4 inbox na zote nilifanya interview.
Mwezi huu pia nilituma application 2 na zote zikakubalika wakaniita interview nikawaambia niko nje ya nchi labda tufanye phone interview; Moja nilifanya na kazi nikawa nimepewa na walikuwa tayari nifanyie huku nilipo mpaka nitakapo Rudi ; nyingine wanahangaika kufanya appointment na GM wao ili tufanye hiyo interview Huku niliko.
Kwa ufupi ubora wa profile Yako pamoja na connection uliyonayo utakurahisishia kazi.
Jitahidini kujenga mazoea yakufanya interview hata huhitaji kazi hii itakijengea experience moja kubwa sans.
Niliwahi kwenda kwenye interview ya kuitwa bila kuomba kazi nikakutana na mhindi empty kichwani alafu ana nyodo na maswali yake ya google mbona alikoma😂😂😂😂 nilimchana na nikakataa hiyo kazi kitaalamu
Naweka na viushahidi msije kusema ni mbwembwe za JFView attachment 2563565View attachment 2563566View attachment 2563568View attachment 2563569
Mbona Mimi juzi nimeipata ofa nyingime nikafanya interview nikatuniwa na ma fomu nijaze ila baada ya kufanya uchunguzi binafsi wadau wakanishauri nisiende japo mshiko wake ulikuwa mtamu ikabidi nipotezeeLinkedIn labda ilikuwa zamani lkn si sasahiv... Sasahiv ni upupu tu hakuna cha maana.. Kuna high profiles tu lkn hazitakusaidia chochote
Mkuu una bahati sana... LinkedIn kwa sasa ni ubahatishe sana labdaMbona Mimi juzi nimeipata ofa nyingime nikafanya interview nikatuniwa na ma fomu nijaze ila baada ya kufanya uchunguzi binafsi wadau wakanishauri nisiende japo mshiko wake ulikuwa mtamu ikabidi nipotezee
Mi nilibahatikaga kufanya aptitude test ya Alistair ila sijufaulu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Siwezi kukubaliana na wewe Kwa hiloMkuu una bahati sana... LinkedIn kwa sasa ni ubahatishe sana labda