Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Walikutafuta wenyewe au?Unapata kabisa. Mimi niwewahi kupata kazi zaidi ya 2 kupitia huo mtandao. Tena za nje ya nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikutafuta wenyewe au?Unapata kabisa. Mimi niwewahi kupata kazi zaidi ya 2 kupitia huo mtandao. Tena za nje ya nchi
Yeah walinitafuta wenyewe mara zoteWalikutafuta wenyewe au?
Walinitafuta wenyewe mara zote. Muhimu tu profile yako iwe Sawa, na CV iwe up to date.Ikawaje mkuu?
Ebu tupe uzoefu,uliomba au walikufata wenyewe na mliishiaje ?
Fanya hivyo; NMB huwa inasumbua.NMB ndo inanisumbua Sasa hata ikiwezekana naona inabid nifungue account special kwa ajili ya online transaction apart from NMB
Nilifanya ila nikafaulu kwa kusuppMi nilibahatikaga kufanya aptitude test ya Alistair ila sijufaulu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Asante sanaFanya hivyo; NMB huwa inasumbua.
Alafu ukifanya hivyo unakuwa safe zaidi maana utakuwa unahamisha kiasi TU unachotaka kulipia kitu. Hivyo hata wahuni wakipata details za kadi yako wanakuta ni empty[emoji1787]
Huwa naomba sana kazi huko LinkedIn ila sijawahi hata kuwa shortlisted wao naona wana sisitiza hiyo premium sasa sijui imekaaje.Tuendelee tulipoishia, uzi mzuri sana huu. Kwa wanaotumia linkedin premium embu watupe faida zake na umuhimu wake?
Kweli, natamani kufahamu kuhusu hili. Maana nikiingia linkedin naona one person viewed your profile, kumuona nahitaji kuwa na premium. Pia, kuna baadhi ya connections zangu siwezi kuwatumia message wanadai mpaka niwe na premium. Hivyo, ni vyema kufahamu faida zingine za kujiunga nayo kwa kupata ushuhuda kutoka kwa wadau.Huwa naomba sana kazi huko LinkedIn ila sijawahi hata kuwa shortlisted wao naona wana sisitiza hiyo premium sasa sijui imekaaje.
Faida za LinkedIn Premium ni nyingi sana ila nitaeleza chache muhimu sana.Kweli, natamani kufahamu kuhusu hili. Maana nikiingia linkedin naona one person viewed your profile, kumuona nahitaji kuwa na premium. Pia, kuna baadhi ya connections zangu siwezi kuwatumia message wanadai mpaka niwe na premium. Hivyo, ni vyema kufahamu faida zingine za kujiunga nayo kwa kupata ushuhuda kutoka kwa wadau.
Sioni sababu ya kutumia linkedin premium kama wewe si mwajiri. Linkedin premium inakupa option ya kuwasiliana na mtu hata kama hujamuinvite akaaccept connection na wewe na features nyingine nzuri.Tuendelee tulipoishia, uzi mzuri sana huu. Kwa wanaotumia linkedin premium embu watupe faida zake na umuhimu wake?
Hili ndio swala ambalo mimi pia sipatani nalo. Kukishakuwa na mduanzi jua hio kazi sitamaliza mwaka ntaiacha.😂😂😂 Kuna watu wanakera kinoma hata CV yangu sehemu nyingi nimefanya mwaka mmoja mmoja tuOngezea na number 5
Kukosa uvumilivu - hiki hata mimi ni muhanga siwezi kuvumilia mtu anaenizingua kazini awe boss awe HR awe Manager awe Supervisor akinizingua siangalii cheo chake lazima tutazinguana tu, na kimeendelea kuni-cost I can't tolerate stupidity
Aisee hatupishani Kuna sehemu nilikuwa yaani kampuni imejaa uchawa wa hali ya juu, nikaona hapa sitoboi na kweli sikutoboa maana uchawa na kujipendekeza siwezi kabisa.Hili ndio swala ambalo mimi pia sipatani nalo. Kukishakuwa na mduanzi jua hio kazi sitamaliza mwaka ntaiacha.😂😂😂 Kuna watu wanakera kinoma hata CV yangu sehemu nyingi nimefanya mwaka mmoja mmoja tu
Premium ni muhimu sana sema inategemea na field yako; nini unafanya. Kuna watu kazi zetu zinatuhitaji kujua Nini kinaendelea kila siku ulimwenguni katika nyanja zetu na hapo ndipo LinkedIn inakuja kuwa msaada maana Kuna taarifa nyingi tunapata huko ukiachilia mbali training mbali mbaliSioni sababu ya kutumia linkedin premium kama wewe si mwajiri. Linkedin premium inakupa option ya kuwasiliana na mtu hata kama hujamuinvite akaaccept connection na wewe na features nyingine nzuri.
Ila kwangu mimi sizioni kama za maana kivile
Kitu muhinu kuwa na profile nzuru.
Linkedin imenipa madeal kinoma toka nmejiunga nayo 4 years ago..mwaka huu kuanzia feb imenipa deal moja la moto sana linaishia mwezi ujao ila income nliyopata ni karbu malipo ya viti maalum ya miez 3
Asante Sana kwa maelezo murua Mkuu, nimepata mwanga na mahali pa kuanzia kuhusu suala hili.Faida za LinkedIn Premium ni nyingi sana ila nitaeleza chache muhimu sana.
1. Profile yako huwa inapewa kipaumbele pale ikitokea employer anatafuta mtu kwahiyo kulingana na profile yako mwajiri akiweka neno linaloendana na experience yako au kazi unayofanya lazima jina lako litokee.
Kila baada ya siku 7 watakuletea analytical report kukuonesha ume appear mara ngapi kwenye search na makampuni yaliyo search mtu mwenye vigezo kama vyako utaoneshwa [emoji116]
View attachment 2928901
2. Kila itakapo postiwa kazi inayoendana na qualification zako watakutumia notification ya recommendation ya hiyo kazi na watakuonesha vitu vifuatavyo (no. III ni muhimu sana)
I. Ni watu wangapi wameomba hiyo kazi
II. Idadi ya wafanyakazi kwenye hiyo kampuni na kama Kuna mtu amesoma chuo ulichosoma watakuambua.
III. Watakuonesha una vigezo vingapi na vipi kati ya vigezo vya mtu anaetafutwa ambavyo unavyo na usivyokuwa navyo ( hii inakusaidia ku edit na kuweka vile vigezo(skills) vinavyohitajika na mwajiri ambavyo hujaweka kwenye profile) [emoji116]
View attachment 2928926
IV. Watakuonesha kama unafaa ama haufai kuomba hiyo nafasi [emoji116]View attachment 2928936
V. Last but not least Kwa siku ya Leo watakufanyia ulinganifu Kwa watu wote walioomba hiyo nafasi ili ujipime uone kama unaimba hao upitezee [emoji116]
View attachment 2928942
Kwa kutumia mfano huo hapo juu watu waliomba hiyo nafasi kupitia LinkedIn mpaka kufikia Leo ni 654 kati ya hao watu,
A. 5 walikuwa ni manager level na 1 ni Entry Level applicant
B. 67% ya watu waliomba wana elimu sawa na ya kwangu
C. 33% wananizidi elimu.
NB: kama ningeamua kuomba hii kazi ningekuwa kati ya watu 6 ambao wangekuwa na nafasi kubwa kupata hii kazi Kwa kutumia kigezo cha experience.
Na hapa ndio faida namba Moja ya kuwa na LinkedIn Premium. Inakusaidia kuokoa mda kwani utakuwa unaimba kazi pale unapoona una nafasi kubwa ya kushinda.
Kwamfano Jana nimeomba kazi kupitia LinkedIn haikupita hata nusu saa nikaitwa kwenye interview[emoji116]
View attachment 2928948
Ushauri: jitahidini ku connect na watu wengi as possible. Pia apply kazi na nendeni kwenye interview hata kama huitaki ili kujinoa. Kuna namna ya kukataa kazi kisomi
Hizo deals ni wanakutafuta wenyewe au unaziomba Mkuu? Nimepata kitu kutokea kwako, nitajitahidi kuboresha profile ili ikae vizuri.Sioni sababu ya kutumia linkedin premium kama wewe si mwajiri. Linkedin premium inakupa option ya kuwasiliana na mtu hata kama hujamuinvite akaaccept connection na wewe na features nyingine nzuri.
Ila kwangu mimi sizioni kama za maana kivile
Kitu muhinu kuwa na profile nzuru.
Linkedin imenipa madeal kinoma toka nmejiunga nayo 4 years ago..mwaka huu kuanzia feb imenipa deal moja la moto sana linaishia mwezi ujao ila income nliyopata ni karbu malipo ya viti maalum ya miez 3
Mkuu naona uko na experience nyingi na LinkedIn, naomba nikutafute huko PM kwa msaada zaidi kama hutojaliFaida za LinkedIn Premium ni nyingi sana ila nitaeleza chache muhimu sana.
1. Profile yako huwa inapewa kipaumbele pale ikitokea employer anatafuta mtu kwahiyo kulingana na profile yako mwajiri akiweka neno linaloendana na experience yako au kazi unayofanya lazima jina lako litokee.
Kila baada ya siku 7 watakuletea analytical report kukuonesha ume appear mara ngapi kwenye search na makampuni yaliyo search mtu mwenye vigezo kama vyako utaoneshwa [emoji116]
View attachment 2928901
2. Kila itakapo postiwa kazi inayoendana na qualification zako watakutumia notification ya recommendation ya hiyo kazi na watakuonesha vitu vifuatavyo (no. III ni muhimu sana)
I. Ni watu wangapi wameomba hiyo kazi
II. Idadi ya wafanyakazi kwenye hiyo kampuni na kama Kuna mtu amesoma chuo ulichosoma watakuambua.
III. Watakuonesha una vigezo vingapi na vipi kati ya vigezo vya mtu anaetafutwa ambavyo unavyo na usivyokuwa navyo ( hii inakusaidia ku edit na kuweka vile vigezo(skills) vinavyohitajika na mwajiri ambavyo hujaweka kwenye profile) [emoji116]
View attachment 2928926
IV. Watakuonesha kama unafaa ama haufai kuomba hiyo nafasi [emoji116]View attachment 2928936
V. Last but not least Kwa siku ya Leo watakufanyia ulinganifu Kwa watu wote walioomba hiyo nafasi ili ujipime uone kama unaimba hao upitezee [emoji116]
View attachment 2928942
Kwa kutumia mfano huo hapo juu watu waliomba hiyo nafasi kupitia LinkedIn mpaka kufikia Leo ni 654 kati ya hao watu,
A. 5 walikuwa ni manager level na 1 ni Entry Level applicant
B. 67% ya watu waliomba wana elimu sawa na ya kwangu
C. 33% wananizidi elimu.
NB: kama ningeamua kuomba hii kazi ningekuwa kati ya watu 6 ambao wangekuwa na nafasi kubwa kupata hii kazi Kwa kutumia kigezo cha experience.
Na hapa ndio faida namba Moja ya kuwa na LinkedIn Premium. Inakusaidia kuokoa mda kwani utakuwa unaimba kazi pale unapoona una nafasi kubwa ya kushinda.
Kwamfano Jana nimeomba kazi kupitia LinkedIn haikupita hata nusu saa nikaitwa kwenye interview[emoji116]
View attachment 2928948
Ushauri: jitahidini ku connect na watu wengi as possible. Pia apply kazi na nendeni kwenye interview hata kama huitaki ili kujinoa. Kuna namna ya kukataa kazi kisomi
PoaMkuu naona uko na experience nyingi na LinkedIn, naomba nikutafute huko PM kwa msaada zaidi kama hutojali