Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Kwahiyo mkuu ulikaa mbali naye sababu ya ulemavu wa ndugu yake?🤔
 
Upendo huwa unaota, kuchipua na kustawi sehemu yenye subira, utulivu, ukweli, uaminifu, kusikiliza, kujali, kuthamini, kujitoa, na kujituma.

Ukiona mtu amekufuata na anakuonyesha upendo jaribu kupitia hizi elements kwenye tabia zako. Ukiona hakuna hata moja jua wewe ndie unazingua hapo.

Na kama zitakuwapo then ni swala la muda utashangaa na wewe umeanza kumpenda wakati mwanzo haukuwa hata na wazo.

Given that muhusika ni msafi wa mwili na tabia, ana maisha, anajitambua, na ni raia mwema.
 
Aliekwambia anahis ataish milele n nan?? Moja ya furaha za maisha n kua na umpendae sio kisa kila anaekupenda na ww unaenda jichomeka apo apo kwa kujifanya UNICEF kwa kuonea huruma kila raia um dunian somtme angalia moyo wako wap unapata aman hata kama upendwi uko upatapo aman
 
Hahaha chai
 
Jamn pole
 
Mpende mkeo mkuu
 
Kwahiyo mkuu ulikaa mbali naye sababu ya ulemavu wa ndugu yake?🤔
Ktk kuishi kwangu sikuwahi kufikiria kujihusisha ktk mapenzi ya zima moto na huwa sipendi kuonja mapenzi maana nikizama nimezama.

Sasa nilivyomuona huyo nduguye,nikafikiria mambo kadha wa kadha ikiwemo;
Vipi akibeba mimba yangu wakati nami sijawa tayari kumuoa siyo kwamba nitaiongezea familia yao mzigo mzito?

Majibu yake ni kutokuthubutu kufunua Yohana 3 yake hata kwa ishara.
 
Ok nimekuelewa mkuu.
But Yohana 3 yake ndiyo mbususu?? Aisee😀😀
 
Kuna katoto cha Dodoma kina nipenda Sana mpaka nakaonea huruma Ila Mimi si mpendi atuendani pia bado mdogo Sana 17 umri, mpaka leo bado ajakata tamaa ananitafuta kwa simu kwa sasa nipo Dar.
 
You have to show love to that woman, namaanisha mpende huyo mwanamke, muonyeshe upendo huyo mama acha utani mkuu. Sikupi sababu vile umetaja yote ila mpende huyo mama. Ukikosea ukamuacha na kwenda kwa "love of my life" utashangaa dunia itakavyokunyoosha. Una mke mzee baba!
 
Y

Yaani mtu sijawahi muweka kwenye mipango yangu eti aninase kiboya boya?
Hilo atamaliza rasilimali zake bure na kuishia kuambulia hekima na maneno ya busara kutoka kwangu Mnafiki Wa Kujitegemea.
Huwa wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai, kumbe kuna mikate ya chuma kama wewe😀😀.
Ila ni vizuri msimamo ni muhimu, but hujajibu kuhusu Yohana 3 mkuu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…