Daah yani umegusa jambo linalotesa maisha yangu.
Nilitaka kuoa kipindi fulani nilipotangaza uchumba ndo kama nilikua nimetangaza vita kwa wadada, wadada walinichukia wallah, wengine wakanifanyia vitimbi maneno yakawafikia wazaz wake uchumba ukavunjwa pasina kua na kosa, dah.
nishawahi kufukuzwa kazi kisa kumkataa mke wa mtu tena mi ndo nilikua juu yake pale offin, alining’ang’ania nikaona uyu ananizoea sana, nikamchana waziwazi kua asinizoee kumbe ye akaenda kuchange story kwa mme wake et mi ndo namsumbua kila siku kazini namtishia kumtoa pale, wakanifanyia game kwa boss yani nilishtukizwa tu nasimamishwa kazi et nina dalili za corona kumbe ndo ilikua mazima barua zikanifata.
Yan tatizo nakua na moyo wa huruma kwa wengi wao, wao hujua labda ndo upendo,
kama uyu mmoja single mama nilitikea kumpenda mtoto wake wakike sana, sikumoja nikamchukua mwanae nikaenda nae shopping nikamnunulia vinguo na midoli sababu nilikua nampenda mno uyo mtoto, kasheshe ikaja kwa mama mtu, ushikaji wetu ye akauchukulia kua nampenda nashidwa kusema, siku moja akanisogelea sana nikashangaa mtu analeta lips nikaona nikipindisha uso hapa atajisikia vibaya, nikamsupport tuu ili aone kua naweza, yani akalegea kabisa masikini, ikabidi nijifanye namimi nimedata NIKAJIFANYA NIMESIMAMISHA ASIJUE HISIA NILIZIVUTA KWA CRUSH WANGU…! Bas akanianglia akawa ananionea huruma, nikamdanganya kua nawish nilale ila kuna mtoto sio sawa tufanye twende kwangu kumbe nilikua namkwepa najua hawez kutoka kwa ule mda, akanipromise kesho atakuja asijue ata sihitaji aje.
Nimetoka pale njiani najilaani tu, full kuatema mate kama mwehu, nimefika home anapiga simu kama ananidai nikawa namkwepa kiaina, inshort wengi hua naishia kuwatafutia makosa ili niwaache wakiwa hawaoni kua nilikua siwapendi, waone ni walinikosea ndo maana nikawaacha.