Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maku anayo au hana?Eti kuna kibonge mmoja, mweusi, ananipenda eeh.. amenidharau sana.
Hahhah mimi kama nampenda na Mungu ashuhudia nina nia njema kwake na yeye anasema hanielewi wala hajaniweka mipangoni mwake hahahha ngoja nicheke kwanza.Y
Yaani mtu sijawahi muweka kwenye mipango yangu eti aninase kiboya boya?
Hilo atamaliza rasilimali zake bure na kuishia kuambulia hekima na maneno ya busara kutoka kwangu Mnafiki Wa Kujitegemea.
Tatzo wanaume wanavutiwa na wanawake wa story za vijiweni sio wale watakaosimama nao kuendeleza maisha na kuwa Wasaidizi wema.Tatizo wanaume wengi wanapendwa na wanawake wasiovutiwa nao
Lazima uoe mwanamke anayekuvutiaTatzo wanaume wanavutiwa na wanawake wa story za vijiweni sio wale watakaosimama nao kuendeleza maisha na kuwa Wasaidizi wema.
Mtu tangu anakua akikaa na washkaji ( sijui wanashka nn) anaskia Mara dem kiuno bla bla mara chuchu bla blaa nk. Hakuna Group au wenzie wanaoongea kwamba wanawake heshima busara adabu sasa atampendaje mwenye adabu asiye na muonekano kamili ule ambao amekuwa akisikia kwa wenzie?
Mwishowe anaoa character ya washkaji wanaishia kuachana.
Lazima uoe mwanamke anayekuvutia
Hauwezi kuvumilia kuishi na kumpenda mwanamke ambaye hauvutiwi naye
Hata sijakataa. Lakin faida ya kuvutiwa haiwezi ku compromise na hile ya kuheshimiwa na Kutiiwa kama Kichwa cha mke. Yaan najua we bado kijana. Labda tufungue uzi wa wale walioshushwa na kudharauliwa na waliiona ni Pisi na waliwavutia.
Ila pia wanaume wanaochepuka ni wale wameoa waliowapenda na wakaona wanatabia njema. Kazi ikabaki ku compliment na wale waliwahitaji zaidi. Hii ni suala pana sana.
Bt mnaotia huruma ni nyie mnaooa pis kisha nyumba zinageuka central.😃👣
Mm ni mgumu ila kumwambia mwanamke sipendi nitakuwa nimezing'ua vibaya! Ataumia vibaya.Mwanaume ujasiri na nguvu za kumwambia mwanamke humpendi mnautoa wapi?? 🤣🤣🤣
Maharage ya mbeya au sio?Mm ni mgumu ila kumwambia mwanamke sipendi nitakuwa nimezing'ua vibaya! Ataumia vibaya.
Ndo kusemaMaharage ya mbeya au sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiiiiii.Aaarrrgaaaaah jaaah!! [emoji2222]
Sisi ndo sisi wengine mafisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatupoi hatuboi tuko nginja nginja.!
Kidume S kidume ninaye na natamba naye kuwaachia kina nyamkomwe mpk nipende au mganga wa kwetu afe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Udugu leo nna hamu ya kuchachua hebu wanikwae watu kidogo jamani.!!!
😂😂😂😂 Leo nimeamka na vibe nishapona, nasubiri nifunge hesabu nikapate kamnyweso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiiiiii.
MmmhNakupenda pia my😍
Em fanya kunipasia hesabu kidg, na mie nikapate kamnywesooo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo nimeamka na vibe nishapona, nasubiri nifunge hesabu nikapate kamnyweso
😂😂😂😂 Mauzo hatunywei, subiri shem wako aingize pesa.!!Em fanya kunipasia hesabu kidg, na mie nikapate kamnywesooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiriii hukuu mwenzio uduguu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mauzo hatunywei, subiri shem wako aingize pesa.!!
Nini sasa!Mmmh