Si mmoja bali walishatokea na mmoja yupo hadi sasa. Sijui nina shida au vipi yaani nikigundua mwanamke ananipenda sana upendo wangu kwake huanza kupungua. Kinachonikera ni kule kujibebisha na simu nyingi/ sms nyingi hata muda ambao nipo kwenye vikao vya maamuzi, briefings , situation updates demu anataka mchati au anapiga simu haijarishi mara ngapi nishamuelekeza kuwa muda fulani mpaka muda fulani usinitafute anaelewa ila baada ya muda anarudi kulekule sababu kubwa ananiambia "Mi nakupenda sana, nakukumbuka ndiomana nakupigia hata niisikie sauti yako"😬😬
Natamani life la
Bantu Lady muda wa kazi kazi, kilakitu kina mpangilio wake. Chukua maua yako hapo ulipo🌹