Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Kelele 1 kwa udugu ake, weuwee
Kelele 2 kwa udugu ake, weuwee, weuweee
Kelele 3 kwa udugu ake, weuwee, weuwee, Weuweeeeeeeeee.

Watu na Mangi wao mjinii, afu sio shida zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaarrrgaaaaah jaaah!! 🤸‍♀️
Sisi ndo sisi wengine mafisi 🤣🤣🤣
Hatupoi hatuboi tuko nginja nginja.!
Kidume S kidume ninaye na natamba naye kuwaachia kina nyamkomwe mpk nipende au mganga wa kwetu afe 🤣🤣🤣

Udugu leo nna hamu ya kuchachua hebu wanikwae watu kidogo jamani.!!!
 
Payback huwa kali sana mkuu. Kuliko kula nauli yake, mwambie ukweli na akituma pesa mrudishie. Itamsaidia kurecover. Utakuja kutana na karma, siku usiyoitegemea, na hapo ni ile siku atakapoacha kuwa na hisia juu yako, utatamani umpate mwenye mapenzi ya kweli kama huyu lakini hautampata
 
Huyu huwa ni kweli anaiona kuwa mimi ni mme ila huwa anaruka na wanaume huko akitendwa ndio anawekeza jitihada kwenye kunisaka.
Nina mke na watoto,mimi ni shaabiki mkubwa na wa uhakika timu iitwayo familia yangu
Mimi ni muumini mkuwa wa dini iitwayo familia yangu.
Mimi ni mwachama muaminifu wa chama kiitwacho familia yangu.
Mimi ni mrahibu niliyeshindikana wa kilevi kiitwacho familia yangu.

NB;
HUYO ALISHAPITA VICHOCHOLO VINGI MNO kumzidi YUDA ESIKALIOTI asije akanipiga bei,ni bora kuwa mbali naye kabisa.
 
To be continued..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…