Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Ishanikuta hii,na iko active mpaka sasa,dada wa watu ananipenda mnooo.Kwa upande wa kipato namzidi zaidi ya mara 4.Sura yangu sio ya mauzo.
Lakini yeye ndo amekuwa kinara wa kunihonga,anajilipua mwenyewe kwa nauli yake kunifuata niliko umbali 1000km+.
Sina mpango nae lakini daah,kang'ng'ana.
 
sisi wengine tulishazoea uhandsome wetu unatupa shida jamani yaani..!
 
2004 nikiwa kisiwani Lukuba nikiwa mvuvi mashuhuri kijana,nikapendwa kimapenzi na binti wa darasa la 7. Sasa ninachokifahamu mimi nikutokumkatalia mwanamke ombi la mapenzi waziwazi.

Basi,kila akitoka shule ile saa kumi alasiri ananiombe nimsindikize kuelekea kwao.
Sasa siku moja akaniomba nimfikishe nyumbani kwao,hapo sijawahi kumkubalia wala kumkatalia ombi lake.

Ile tunafika nyumbani kwao,akatokea ndugu yake ndani,alikuwa mwenye elamavu wa miguu.
Alikuwa wa kike nadhani alikuwa mkubwa kwa huyu mwanafunzi na alikuwa akitembea kwa kujivuta chini kwa kutumia makalio.

Hili lilichagiza moyo wangu kumsogeza huyu binti mita 5 mbali nami tena na ilinichukua miezi 6 sijamjibu ukiachilia mbali kuzurula naye kitaani mpaka nilipobadili kazi ila alikuwa akinilaumu kuwa kutokueleweka kwangu kuna mtesa sana.
 
Nishawahi tu kuwa na mdada ambae simpendi ila yeye sijui kama alikuwa ananipenda
 
Alinipenda sana huyu demu wa kihaya, chuo hiyo
Mda wa lunch nakuta kachukuwa plate mbili ananisubiri canteen
Likitokea zari sijui kakorofishana na nani wa kwanza kuambiwa mimi
I knew she had a crush on me ila nilimchukulia platonic tu sikuwa na hisia hata kidogo. Long story short nilidate na rafiki yake alipojua our friendship was over!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…