LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
umeshawahi kupimwa au kujaribiwa imani na mtu, kuna siku nimdenda zangu kununua earphone nilipo rudi jioni yake mdada wa kazi akaniomba asikilize radio,
nikampa akabaki nazo mpaka kesho asubuhi,
sasa kufika asubuhi nimeamka nafanya usafi akanifuata na kuniambia zile earphone alipitiwa na usingizi zikiwa masikioni amezikata bahati mbaya,
Mimi nikamjibu, ni mambo madogo tu hayo, wanakufa watu zitakuwa waya zina nini mpaka zisikatike huku usoni nikijitahidi kumuonesha kwamba sjali kuhusu hizo earphone, japo ukweli nilikuwa najali maana toka nazinunua halafu sijazitumia hata kidogo,
basi nikapotezea baadae tumekaa tunakunywa chai nikamwambia akazilete nione kama zitafaa kuziunga,
akaenda kuzileta akanipa kuzipokea mbona zipo sawa tu, akaniambia eti alikuwa ananijaribu tu ili ajue kama ninafaa kuombwa vitu vyangu,