Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

Kifo cha marehemu baba mzazi baada ya kuugua for more than 6 years.

Nilisikitika kwa kua sitakuja kumuona tena, na ilikua habari njema kujua sasa yale mateso yamekoma.

R.I.P my dad
 
Back
Top Bottom